Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Huu ni mwandiko wa mtumishi au mwandiko wa mfanyakazi??MOD HUU NI UTAFITI UNAFANYIKA NA UTAWEKWA GAZERINI NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI NAOMBENI MSIFUTE THREAD HII
----------
Habari za Leo wadau wa Jf
Naomba rujadili kwa mapana na Marefu kuhusu Mtumishi wa Umma kuwa Mwanachama wa chama cha siasa je ni sahihi kwa nchi? Wananchi wake au hata nje ya Nchi. Nini hadhari zake kiuchumi kisiasa... Je kwa sasa hivi vyama vya upinzani kutokuwekewa wigo sawawa siasa je mtumishi wa umma akiwa mwanachama wa chama tawala je kunausawa?
Haya yote Ni kwa mada hii au wewe una mengine zaidi!! Tusubiri wajuzi wa Mambo wajadili na wengine wengi tunufaike. Nafikiri Kakosea neno kwa watumiaji wa smartphone Ni kawaida sana.Sasa hapo ndio umesema nini? Eti utafiti, utafiti gani unauliza 'the obvious?'
Mnajifanya kujua mpaka unajidhalilisha sasa, hoja zimeisha, ajenda hakuna, kutetea na kukaribisha wezi mpaka mnaona aibu mumebaki kutapatapa eti hadhari, hadhari ndio mini? Dawa imekuingia mpaka unaongea kichaga, dadeki
Hujaelewa chochote hadi naona aibu !Sasa hapo ndio umesema nini? Eti utafiti, utafiti gani unauliza 'the obvious?'
Mnajifanya kujua mpaka unajidhalilisha sasa, hoja zimeisha, ajenda hakuna, kutetea na kukaribisha wezi mpaka mnaona aibu mumebaki kutapatapa eti hadhari, hadhari ndio mini? Dawa imekuingia mpaka unaongea kichaga, dadeki
Swali liwe specific Zaidi, mtoa mada anamaana gani anaposema "Mtumishi wa Umma".Tuanze na fasili kwanza....
Mtumishi wa umma ni nani?