Ni sababu ya mimba kutoka

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,862
Reaction score
5,153
Nimeona niulize kupita ukurasa huu ni kitu gani hasa kinachosababisha mimba kutoka
Mods najua hii mada hii sio sehemu yake naomba muiache kwanza watu waelimike mtakuja kuhamishia kule baadae
 
Sababu ni nyingi, weka wazi mimba huwa inatoka ikiwa imefika wiki ya ngapi au trimester ipi??
 
Ni laana.
Umelaaniwa.

Mfano watu wengi walio kwenye Dola(wanaoumiza watu au kuunga mkono) wanapata hizi changamoto.
 
Kama umegongesha sana besera( kutoa mimba) mji wa mimba unakuwa weak, hivyo ujauzito kuwa rahisi kutoka....By Dk Macheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…