kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 514
Imebainika kuwa saa 144 zilizobakia CCM na Mgombea wake Dr Magufuli wamezidi kukubalika kwa wanainchi kutokana na sera zinazogusa wananchi wa kawaida.Wakati chama cha Chadema kimezidi kupoteza mwelekeo kwa jamii kutokana na kukumbatia mafisadi na sera zao za vurugu.Saa 144 ndizo zilizobakia kwa Chadema kuendelea kusikika katika ulimwengu wa siasa za Tanzania.
Munajitekenya na kucheka. Muna hali mbaya sana ccm. Hayo masaa tuna ona mwanga wa tanzania mpya na yenye neema. Viva Lowassa! Makufuli kwisha kabisa arudi chato akalime.
Ccm haina mvuto tena