Ni rasmi CHADEMA wameitambua Serikali ya awamu ya 5/6 na uchaguzi ulikuwa huru na haki

mama hajachaguliwa amejikuta yupo ikulu. tunatambua amewekwa na katiba hvyo tunaitambua serikali yake. lakini mwendazake na ule uchafuzi haufutiki
 
Hii u turn mliyopiga,walahi hamna mfupa wa aibu!Samia amewaacha njia panda,Inawezekanaje gaidi kukaribishwa Ikulu?
Tuliwaambia Toka mwanzo kuwa hii kesi ni ya kubumba!Ajabu ushahidi aliosema Sirro anao haujaonekana na Kwa aibu upande wa mashtaka wakaishia njiani kuleta mashahidi wao!
Imefika zamu ya Mbowe na wenzake kujitetea,mkaanza kwanza Kwa kutaka anuani na majina ya mashahidi wa utetezi,Kibatala akawagomea akasema Kwa usalama wa wateja wao hawataweza kuwataja na wengine ni watumishi!
Hapo ndipo kengele ya hatari ikawagonga vichwani mwao,wakaona waingie mitini siku ambayo Mbowe angeanza kujitetea!
Mbowe ana wajibu wa kujitetea Kwa Umma,Hilo linakuja!
Mlimdhihaki zitto alipoalikwa lakin wallah mwenyezi ni fundi ameonyesha wazi wanafiki walivyo kigeugeu!
 
Alihitaji kusema kwa sauti ila kivitendo ni dhwahiri chadema kupitia viongozi wao wakuu vice-chairman na chairman kwa vipindi tofauti wamekubali kuwa serikali ya awamu ya tano na sita zilichaguliwa kihalali kwa kura halali na tume halali na matokeo yalikuwa halali.
Kwa muda mrefu viongozi hawa walipinga kwenda ikulu kuonana na raisi kwa kuwa uchaguzi haukuwa huru na vice-chairman alikwenda mbali kwa kuuita uchafuzi.

Angalizo wafia chama muwe na akiba ya maneno viongozi wenu ndio wenye maamuzi,
Kesho wanaweza kuamka wakawa kama Act wazalendo bega kwa bega na serikali.

SIASA SIO UADUI!View attachment 2139604View attachment 2139605
Umeumia sana eeeehh sukumia barafu
 
Mlimdhihaki zitto alipoalikwa lakin wallah mwenyezi ni fundi ameonyesha wazi wanafiki walivyo kigeugeu!
Aliakwa yeye au vyama vya siasa?Amgeenda yeye kama yeye Wala hakuna ambaye angetia neno!
Ila suala la kusema ni mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani na Rais wakati Chama kikuu Cha upinzani hakipo ni gelesha!
 
Alihitaji kusema kwa sauti ila kivitendo ni dhwahiri chadema kupitia viongozi wao wakuu vice-chairman na chairman kwa vipindi tofauti wamekubali kuwa serikali ya awamu ya tano na sita zilichaguliwa kihalali kwa kura halali na tume halali na matokeo yalikuwa halali.
Kwa muda mrefu viongozi hawa walipinga kwenda ikulu kuonana na raisi kwa kuwa uchaguzi haukuwa huru na vice-chairman alikwenda mbali kwa kuuita uchafuzi.

Angalizo wafia chama muwe na akiba ya maneno viongozi wenu ndio wenye maamuzi,
Kesho wanaweza kuamka wakawa kama Act wazalendo bega kwa bega na serikali.

SIASA SIO UADUI!View attachment 2139604View attachment 2139605
Kwani refa akitoa penati ya mchongo, mchezo hauendelei?
 
Safi sana CDF Mabeyo haiwezekani asamehewe gaidi mbowe alafu vijana wazalendo wa JKT waliojenga ukuta wa Mererani na Ikulu ya Dodoma waachwe wakiteseka mitaani
Usichikijua kwa huli ulilolisema ni kwamba Hangaya anaendelea kuuthibitishia umma kuwa vitendo vya Magufuli viliharibu taifa hili kwa kiwango cha juu hadi kuingilia vyombo vya dola majeshi yote.

Kwani hao jkt walifukuzwa kipindi cha nani na kwa idhini ya nani? Kesi ya Mbowe ilifunguliwa lini, Si ndiye huyo jiwe. Tafakari.
 
Nadiriki kukuita muongo mkubwa!
 
Aliakwa yeye au vyama vya siasa?Amgeenda yeye kama yeye Wala hakuna ambaye angetia neno!
Ila suala la kusema ni mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani na Rais wakati Chama kikuu Cha upinzani hakipo ni gelesha!
Chama kikuu cha upinzani ni Act kina wawakilishi wengi bungeni chenye jino moja mswaki wa nini wasubiri!
 
Kwanini hampendi Samia na Mbowe wazungumze pamoja? Mtapata tabu sana mambo ndio kwanza yanaanza.
Mtazungumza nao hadi lini na matokeo ni yapi? yani kila uchaguzi ccm wanafanya yao ili waendelee kutawala na Chadema mnapiga kelele weee ila bado mnaitwa ikulu mnaongea nao na ukija uchaguzi tena mambo ni yaleyale tu.

Sasa huo si ni ujinga.
 
Chama kikuu cha upinzani ni Act kina wawakilishi wengi bungeni chenye jino moja mswaki wa nini wasubiri!
Unajua sifa za Chama kuwa Chama kikuu Cha upinzani?
Kama hao ACT ndio Chama kikuu,mbona hawajaunda Kambi rasmi ya upinzani bungeni?😃😃
 
Back
Top Bottom