Wakati wa World cup ya Japan
kulikuwa na mchezaji wa Belgium ana asili ya DRC
alikuwa anaitwa Mbo Mpenza
na timu yao ya Belgium ili Practise uwanja wa Kumamoto....
gazeti bongo lilitoa picha na headline 'mbo ndani ya Kumamoto' lol
Hivi wewe una jinsia mbili!!?....Afadhali umetustua na mie nikatafute demu wa udsm. Wanajua discussion lakini?
Wanaringa au wanajiheshmu? Kwani uliambiwa ifm au cbe ni ohio au kwa mfuga mbwa? Au unafikiri kuwa mwanachua nikujiuza? Au kuchukua certificate ndo thamani ya utu wao haipo? Hicho kichwa chako umebeba mzigo wa bure? Waache dada na binti zetu wasome. Hayo mapepo yako ya ngono peleka kwa madada poa! Poor!
Makunduchi karibu na kwa Mzee Kundugeni.
The Boss!Wakati wa World cup ya Japan
kulikuwa na mchezaji wa Belgium ana asili ya DRC
alikuwa anaitwa Mbo Mpenza
na timu yao ya Belgium ili Practise uwanja wa Kumamoto....
gazeti bongo lilitoa picha na headline 'mbo ndani ya Kumamoto' lol
huyu binti aliyeanzisha hii thread, she must be a great sinkerHakuna mademu wanaoringa jijini kama wale wanaosoma ifm na cbe hata kama kanasoma certificate kanajisikia.ni ngumu sana kuopoa demu pale ifm n' cbe cjui kwann? Bora udsm