Ni rahisi sana kujifunza Kifaransa

Jeux pour apprendre le Français
« Il faut jouer pour devenir sérieux », : Vous trouvez le français difficile ? La conjugaison est un casse-tête ? La grammaire est un cauchemar ? Détendez-vous et continuez vos apprentissages en vous amusant :
Grâce au jeu de l'oie, au pendu, aux mots croisés vous progresserez en vous divertissant !!!
(Ukiweza kufafahamu Nilishoandika hapo juu basi Ntakutumia baandhi !!!!)
 
Yani unataka kusema wewe ndiyo yule mwalimu unayefundisha kifaransa kwenye startv?
 
Mimi sijasoma kifaransa shuleni lakini sasa hivi nakipiga hatari.Nilifanya kazi kazi nchi za kifaransa central and west Africa.Pamoja na kusoma kwenye vitabu, kuna njia nyepesi sana ingawa ni ya hatari.Kama wewe ni mwanamume unatafuta rafiki wa kike anayefahamu French(wanaitwa night dictionary).Watakufundisha hadi ukifahamu!!!
 
Jifunze ila ujue wewe zaidi kiingereza. Hicho cha mawasiliano tu. Wafaransa wenyewe usipojua sana matusi kibao wanakukashifu
 
Nataka Kiitaliano Kuna demu mmoja wa Kirwanda alikuwa akinifundisha kwa njia ya whatsapp, sim nikaja kuipoteza na number ndiyo ikawa mwisho
Come stai, cosa stai facendo ora, stai dormendo o stai guardando la notizia. Dimmi. Ok va bene Allora ci vediamo domani. Buona domenica. Quando alzerai domani mi faccia sapere. Ciao
 
ooh mon Dieu, je ne savais pas qu'il y ait trop de plaisir ici .... suis heureux je me rends compte .... J'espère ne suis pas trop tard
 
Mimi sijasoma kifaransa shuleni lakini sasa hivi nakipiga hatari.Nilifanya kazi kazi nchi za kifaransa central and west Africa.Pamoja na kusoma kwenye vitabu, kuna njia nyepesi sana ingawa ni ya hatari.Kama wewe ni mwanamume unatafuta rafiki wa kike anayefahamu French(wanaitwa night dictionary).Watakufundisha hadi ukifahamu!!!
Mkuu nitafutie mmoja ili kifaransa kiende vzuri hapa....
 
Jesus mange choux chaux chez Zaché, (Mais je ne suis pas sur que abreviation de mon phrase c'est correcte)
 
Back
Top Bottom