Ni raha sana

Ni raha sana

markdendesi

Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
45
Reaction score
5
1. Ni raha sana pale unapokuwa unashida ya kifedha mara ghafla unayemdai kwa muda mrefu anakuletea pesa nyumbani
2. Ni raha sana pale unapofanya mtihani mgumu na ukaandika OP na matokeo yakitoka unakuwa umefaulu
3. Ni raha sana pale unapoamua kula bata mpaka kuku wanakasirika
 
Ndugu,

Ni raha sana pale unapoambiwa umeongezewa mshahara wakati siku nyingine uwa unatega kazikula bata mpaka kuku wa
Ni raha sana pale bili ya maji inapokuja '0' wakati umetumia maji mwezi mzima
 
Back
Top Bottom