Ni rafiki yangu nimrudishie pesa yake?

Ni rafiki yangu nimrudishie pesa yake?

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Habari zenu wakuu,

Naamini mko poa kabisa na mnaendelea na mishe kama kawaida.

Sasa katika kipindi ambacho nimekuwa mpweke akatokea mkaka mmoja kiukweli nimefahamiana nae humu humu Jf,
tukawa tunachati sana mwishowe tukahamia whatsup ni mkaka very smart, very sweet Msukuma.Tatizo ana mke ndoa bado changa sana, nikamuonea huruma nikaanza kumsifia mkewe kuwa mzuri na bla bla kibao ili aniheshimu, basi nikaenda siku moja nikaonana nae.

It was so fantastic japo tulionana kwa mda mchache sana csababu mimi nipo nje ya Dar kikazi. tukafurahi kuonana then huyoo akarudi zake town, baada ya hapo tukaendelea na mawasiliano my love nyingi, mara baby na mengineyo kama wapenzi vile hata sielewi mie! Iko hivi huwa sipendi kuwa na urafiki usiokuwa na faida, i mean kwamba niwe na rafiki ambaye mwisho wa siku anisaidii lolote even mawazo ( basi juzi nmekaa nikasema nimjaribu, hiyo text ( mylove nisaidie laki 3 i wll refund you) akajibu ok babylove latter kidogo nikasema ok.

Baada ya saa moja akanitumia ile hela kiukweli sikuwa na shida nayo! Sasa hapa nawaza sijui nimrudishie au nipotezee
embu kwa situation kama hii ingekuwa wewe ungefanyaje, lengo langu nilitaka nijue tu kama ni rafiki anaweza nisaidia na kunijali siku niko na shida.
 
Mfano angekwambia hana izo fedha na asingekutumia kabisa ungefanyaje?
 
umukagame

Mchizi atajisikia vibaya sana akikusoma hivi maana si umesema mmekutana JF! Kaa nayo siku kadhaa then mrudishie, utakuwa umejenga uaminifu kwake na siku nyingine ukiwa na shida ya kweli anaweza kuwa msaada kwako
 
Last edited by a moderator:
Eti mtu umekutana nae humu jf half unamuanika hivyo. Aisee I need that money...transfer to me pls. Kale kabishara kangu ka mbogamboga kanahitaji kuinuliwa.
 
umukagame

First rudisha hela za watu coz dat mwanaume anamajukumu na ww umesema hukua na shida nazo.
Second stop kuchat na huyo mwanaume na kuitana mylv,bby n.k remember dat man anamke akijua hilo hatafeel gud hata kama hakuna mnachofanya pia mkiendelea hivo mwisho wa cku unaweza kujikuta umeingia kwny mahusiano na mme wa m2 ki2 ambacho c kizuri.
 
Last edited by a moderator:
Hizi foleni na kero za ofisi ndo zinaletaga mawazo kama aya wakati mwingine
 
Kusitasita kwako kurudisha nidhairi shetan kashakuingia ni vzr umrudishie ila itakuwia ngumu maana una tamaa sana ww
 
asante kwa ushauri sioni shida kuwa na mahusiano nae wala siyo tatizo ila naipenda ndoa yake
 
amejitoa humu nilimshauri tutoke kaideactivate ac yake kabisa
 
Kuacha kuchati nae siwezi kuacha coz ni mtu mzuri sana kwangu yani siwezi nlichohitaji ni ushauri je nirudishe pesa zake ama nikaushe of coz nackia kama hukumu flan i wish nimrudishie japo sijui atareact vipi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom