navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 199
- 268
Naomba niende moja kwa moja kwenye point....Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 25-27.
Nina shida moja kama siyo tatizo ambalo linanisumbua sana na ningependa kama kuna uwezekano niachane nalo kabisa japo nimejarb lakini nimeshindwa kwa mimi kama Mimi..
Nimekua na woga sana kama siyo hofu kiasi kwamba mbele za watu hasa ambao sijazoeana nao kwa mda mrefu..kwa mfano nimeajiriwa katika taasisi fulani yapata miezi mitatu tangu niajiriwe, lakini shida inakuja kama wenzangu wakiwa wanapiga story naogopa hata kuchangia.
Kwenye vikao vya ofisini ndio kabisa siwezi hata sema neno...hii imenisababishia mpaka najiona siwezi chochote....na nimekua mtu wa kukubali kila hoja itolewayo...yaani kama tunazungumzia kitu flani na watu wanachangia maada akiongea mtu yeyote Mimi hua naona yuko sahihi hata kama wenzangu watapinga..
Na akitokea mwingine akapinga yule wa mwanzo pia ninamuona tena huyu yuko sahihi...kiufupi nimekua cyo mtu wa msimamo..
Hali hii inanifanya hata hapa nilipo nishindwe kutembea nje..nimekua mtu wa ndani mda wote....
Ila cha kushangaza nataman sana kuwa msemaji mkuu kwa kila jambo tatizo nakua mzito kwa kila kitu..
Pia kingine kinachonishangaza kama mtu nimemzoea sana hua nakua huru kwa kila kitu..kwa mfano mwanamke wangu wangu hua nafanya vitu mpaka hunishangaa..husema "hivi huyu ndio ww kweli"..
Sasa wakuu nimekuja kwenu kuomba msaada kipi nifanye ili niweze ondokana na hii hofu maana nahisi inani athiri kisaikorojia.
MKUU ACHA KUPIGA NYETONaomba niende moja kwa moja kwenye point....Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 25-27.

MKUU ACHA KUPIGA NYETO
Hakika hata kusoma hujasoma maelezo yake. Msongo wa mawazo au aibu wapi na wapi? Jamaa ana aibu na hana msongo wa mawazo. Ni wewe tu kujiamini na kuanza kuchangia kidogo kidogo.Kwa uzoefu wangu watu wengi wanaoongea sana kwenye makundi huwa wala hawaongei mambo ya maana. Pa kuanzia: Tafuta topic unayoifahamu kwa undani na wakati mkiwa kwenye mazungumzo ya kawaida jaribu kuinza. Wenzako wanapofanya mchango jaribu kuwa-challenge kwa kutumia ule upeo wako kwenye topic. Kidogo kidogo utazoea.Hilo tatizo linatokana na msongo wa mawazo man...punguza kuwaza sana and sometymz fanya mazoez ya mwili..me nahic itakusaidia
Ulilelewa na wazazi/mzazi wakali sana
ambao walikuwa chochote wanachosema huruhusiwi kupinga wala kujadili
na ukionesha kupinga tu cha moto unakiona so ili uwe safe ulikuwa unakubali tu
ili kuepusha shari..
kwahiyo sasa unaogopa tu watu kukuchukia ukipinga kitu
unataka sana kupendwa na kila mtu