Ni pombe ndio ilinisababishia haya

Ni pombe ndio ilinisababishia haya

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Kwa kweli nisipende kuwa muongo kama wengine kukataa jambo wakati unalifanya, mi siwafichi nna mke na watoto wa4 wa kiume wawili na wa kike wawili na kama ka utaratibu ketu sisi baadhi ya wanaume wa kiafrica kuwa na ka mchepuko nje kuanzia kamoja na kuendelea, sijui na wazungu huwa wana michepuko

Picha linaanza hivi;

Kuna mmama mmoja hivi ambao kwa kweli age imeenda kiaina, lakini kwa jinsi anavyojiweka utafikiri labda yuko sauti mwaka wa mwisho, maza anajitahidi sana kuchomoka na pigo za kisistadu alianza kunipigia misele ya kunitokea tangu mwaka jana 2014 miezi ya mwanzo mwanzo.

Baada ya kumpiga chenga za hapa na pale na yeye mwenyewe kuona hakuna matumaini yeyote ya kunipata akaamua atumie plan B, vizawadi vikawa vingi mara boxer, vi body spray vya aina tofauti tofauti, nikijipindua huku kwenye simu mara umepokea salio la sh elfu 10

Nahisi hadi simu yangu ilikuwa inashangaa maana sijawahi kuiwekea hela hiyo mimi kutoka kwa yani ili mradi tu kunionesha hisia zake.Kuna kipindi akasafiri, aliporudi sasa alikuwa kama ametoka China kufunga mzigo wa kuja kufungua duka la nguo hapo makoroboi, begi zima lina nguo zangu na watoto wangu wale wa4, duh.

J'mosi moja akaniomba sana nimkubalie tutoke akiwa anadhamini bills zote, nikatunga uongo wee, kisha nikamvaa wife uso mkaaavu ' bana bosi wetu amefiwa na mtt wa dada yake huko Shinyanga.

Kwa hiyo tumeteuliwa watu wawili wa kumsindikiza' baada ya kunibana kwa vijiswali vya hapa na pale mamaa akatoa 'go ahead nikalirudia jimama nikatoa sharti, lakini tukitoka huko tuendako unanichukulia chumba nalala peke yangu' akasema haina shida

Tukaenda zetu dansi buana Duh! Alikuwa amepiga kisketi cha jinzi hicho kifupi yani kama sio kimini basi ni kiminua kabisaalipendeza sana tu kaanza kuserebuka dansi huku tunagonga biere taratibu, bandika bandua, huku mi kwangu zilivykuwa zinapanda ndio kasi ya uagizaji ilipokuwa inaongezeka.

Mwisho wa siku tukajikuta tuko kwenye chumba cha hotel flani iliyoko pembeni mji ghorofa ya 3, aliyevumbua hii pombe ni mshenzi sana hata sijui alichanganya nini na nini.Maana nilijikuta misimamo yangu yote inapotelea hewani na nikaanza kutoa ushirikiano wa kutosha.Tulitumiana sana siku hiyo.

Asubuhi akaniacha na fungu zito tu la mkwanja, muonja asali. Hatukuishia hapo, tukawa tunaendelea huku misimamo yangu nikiitupilia mbali kama sio kuisahau kabisa, sasa kilichonifanya nije hapa kuwaomba ushauri ni hiki:-

Siku kama nne zilizopita amekuja binti yake wa kumzaa ana kama 25 yrs mtoto kaiva kwelikweli duh! akamtabulisha kuwa mi ni mshirika wake kibiashara, binti katokea kunipenda sana na akaanza kuingia na gia ya kunipa vijizawadi kama mama yake huku vi sms vya kunitakia mchana/usiku mwema vikiwa vingi tu.

Na wakati mwingine eti kunikumbusha mchana nile kwa wakati sisi wabongo hatunaga hayo eti kula on time, mi nakula pale ninapohisi njaa naona vishawishi vinakuwa vingi sana wajameni hivi nimgegede huyu halafu niachane na mama yake.
 
Kula tuu kuku na mayai...! But duuuuhhh unaonaje ukiiendeleza hii series alafu yupo mshkaji anatungaga stori za magazeti uipeleke...? Unaonaje tukiita "kuku na mayai yake"
 
Huyo mtoto wake nigei mie mkuu, PM namba yake kwangu halafu wewe endelea na huyo mama
 
Subiri naye atakupeleka ukanywe pombe harafu upige mzigo, Ila siku nyingine atakuja mwanaume naye atakufanyia vivyo hivyo hapo sasa tutakushauri ukaliwe tena maana sisi ushauri hatukosi humu. Uwe tayari.

Kamata like zangu 10 mkuu
 
mkuu usimgegede tafadhali sana ni bora utafute papuchi nyingine ya kugegeda badala ya mtoto wa huyo mama,utapigwa marasasi bure na huyo mamasukari
 
Hiv mh rais,ile kauli ya UNATAKA KULA TU BILA KULIWA!ALIITOA AKIWA HAPI VILE?MLETA MADA NAOMBA JIBU PLEASE.
 
Acha tamaa baada ya huyo mwanae atakutambulisha wapili utamtamani list itaendelea....achana nao
 
Acha tamaa baada ya huyo mwanae atakutambulisha wapili utamtamani list itaendelea....achana nao

Hahahah nawaza tu siku akimwona mama wa huyo sugar mammy naye atamtamani aje kutuomba ushauri.....ule kuku..mayai..halafu mama kuku! lol
 
acha kusingizia pombe.. sema uwezo wako wa kufikiri ulifika mwisho kwa wakati ule ...
 
Kwa mwanamke tunamuita malaya. kwa wewe mwanume sijui tukuite nani? Huna adabu hata kidogo, ni tabia ya uzinzi tu unayo unasingizia pombe.
 
Back
Top Bottom