Ni pepsi tena!!!

Ni pepsi tena!!!

Joined
Feb 21, 2012
Posts
95
Reaction score
6
Wadau naombeni mnijuze kuhusu mishahara ya hawa pepsi kwa nafasi za MARKET DEVELOPMENT ACCOUNTS,CASHIER NA ACCOUNTANT.

Regards
 
nenda kafanye kazi mdogo wangu, chochote utakachopata we shukuru tu!. ila nawaamini pepsi mishahara yao sio mibaya.
 
Mi nafanya kazi SBC ila nakushauri ukipata kazi piga kazi mshahara utakaopewa sio mbaya, ukisusa si unaliona soko la ajira lilipo sasa??
 
We kapige kazi man,mambo ya mshahara baadae.
 
Back
Top Bottom