Simon Adebisi JF-Expert Member Joined Aug 7, 2018 Posts 1,290 Reaction score 2,488 Aug 2, 2021 #1 Wadau please mwenye wimbo wa huyu Mama Carola Kinasha uitwao Ni Pendo Tu naomba anipostie hapa nimeutafuta sana bila Mafanikio. Youtube bila myspace link imekufa. Mkito nimelipa but naona kama haifanyi kazi vile Natanguliza shukrani
Wadau please mwenye wimbo wa huyu Mama Carola Kinasha uitwao Ni Pendo Tu naomba anipostie hapa nimeutafuta sana bila Mafanikio. Youtube bila myspace link imekufa. Mkito nimelipa but naona kama haifanyi kazi vile Natanguliza shukrani