Hizi ni theory tu.Ukilala B unaanza kutoa ndoto za mwendelezo kama za mtuhuniwa Lema..hatimae ndoo ya mtondoo inakuhusu.
Enhee!! Si unataka mkwanja ujenge mabanda ya uhani! Hapo sasa! Ndio kama Lipumba prof wa kwiango cha dunia anang'atwa na mbu Buguruni! Hatari!
Pale mjengo A . hahahaha life is Good, wild and free...asubuhi alfajiri ndege wanalia dirishani kwa melody murua, huna deni huna nyumba Kali...you live care free..! Basi tu ila maisha ni mepesi saana.
Namsubiri afunguke tuone kama kichwa chake ni kwa ajili ya kufugia nywele tu au kinafanya kazi hata ya kuanalyse trick conceptsKwani maisha yakoje?
Hizi ni theory tu.
Maisha hayako hivo
Kwani maisha yakoje?
Basi hapo ndio unajion wew ndio standard ya kichwa kizima.Namsubiri afunguke tuone kama kichwa chake ni kwa ajili ya kufugia nywele tu au kinafanya kazi hata ya kuanalyse trick concepts
acha fix hapo a mvua ikinyesha,unaota tu unakimbizwa na simbaUkilala B unaanza kutoa ndoto za mwendelezo kama za mtuhuniwa Lema..hatimae ndoo ya mtondoo inakuhusu.
Enhee!! Si unataka mkwanja ujenge mabanda ya uhani! Hapo sasa! Ndio kama Lipumba prof wa kwiango cha dunia anang'atwa na mbu Buguruni! Hatari!
Pale mjengo A . hahahaha life is Good, wild and free...asubuhi alfajiri ndege wanalia dirishani kwa melody murua, huna deni huna nyumba Kali kwa hiyo siyo maskini kama Grace matata...you live care free..! Basi tu ila sometimes maisha ni mepesi saana.
Thubuuutu! Hapo umepaka mafuta yako ya kitamaduni yanaitwa "Tambati ya sengo" unalala nyumba ya mlango wa kusukuma kwa ubua ila simba akija akisikia Yale mafuta anavurugwa ufahamu..anakuona kama Rambo, shwaziniga. Tamaduni za bush zinamakes life easy and smooth.acha fix hapo a mvua ikinyesha,unaota tu unakimbizwa na simba
Ur genius dude!A, no one would ought to invade u
Haya mashairi yakp matamu unaweza kutoa "Singo" ikaipiku ya Darasa...NimeyapendaUkilala B unaanza kutoa ndoto za mwendelezo kama za mtuhuniwa Lema..hatimae ndoo ya mtondoo inakuhusu.
Enhee!! Si unataka mkwanja ujenge mabanda ya uhani! Hapo sasa! Ndio kama Lipumba prof wa kwiango cha dunia anang'atwa na mbu Buguruni! Hatari!
Pale mjengo A . hahahaha life is Good, wild and free...asubuhi alfajiri ndege wanalia dirishani kwa melody murua, huna deni huna nyumba Kali kwa hiyo siyo maskini kama Grace matata...you live care free..! Basi tu ila sometimes maisha ni mepesi saana.
Ahahaha!! You're the man! Maana uemona kitu ambacho sikukiona wala kuplan..ila nimerejea maandishi niliyoandika sio siri its musical kabisa.Haya mashairi yakp matamu unaweza kutoa "Singo" ikaipiku ya Darasa...Nimeyapenda
sijambo mwanaume wa mkoa ukija tena dar nitafuteThubuuutu! Hapo umepaka mafuta yako ya kitamaduni yanaitwa "Tambati ya sengo" unalala nyumba ya mlango wa kusukuma kwa ubua ila simba akija akisikia Yale mafuta anavurugwa ufahamu..anakuona kama Rambo, shwaziniga. Tamaduni za bush zinamakes life easy and smooth.
Ila nice to see you here..the woman of my dream...@miss natafuta Hopefully you doin pretty cool!?