Ni nyumba ipi wenyewe hulala kwa amani zaidi?

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,793
2,000
Ukilala B unaanza kutoa ndoto za mwendelezo kama za mtuhuniwa Lema..hatimae ndoo ya mtondoo inakuhusu.

Enhee!! Si unataka mkwanja for hook and crook ujenge mabanda ya uhani! Hivyo unalazimika kusema uhongo regardless Elimu yako ili tu mkono uende kinywani..Hapo sasa! Ndio akina Lipumba prof wa kiwango cha dunia anajihudhuru afu baadae anatengua Kali na kung'atwa na mbu Buguruni!! Hatari!

Pale mjengo A . hahahaha life is Good, wild and free...asubuhi alfajiri ndege wanalia dirishani kwa melody murua, huna deni huna nyumba Kali kwa hiyo siyo maskini kama Grace matata...you live care free..! Basi tu ila sometimes maisha ni mepesi saana.
 
EP PRO

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,691
2,000
Ukilala B unaanza kutoa ndoto za mwendelezo kama za mtuhuniwa Lema..hatimae ndoo ya mtondoo inakuhusu.

Enhee!! Si unataka mkwanja ujenge mabanda ya uhani! Hapo sasa! Ndio kama Lipumba prof wa kwiango cha dunia anang'atwa na mbu Buguruni! Hatari!

Pale mjengo A . hahahaha life is Good, wild and free...asubuhi alfajiri ndege wanalia dirishani kwa melody murua, huna deni huna nyumba Kali...you live care free..! Basi tu ila maisha ni mepesi saana.
Hizi ni theory tu.

Maisha hayako hivo
 
EP PRO

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,691
2,000
Kwani maisha yakoje?
Namsubiri afunguke tuone kama kichwa chake ni kwa ajili ya kufugia nywele tu au kinafanya kazi hata ya kuanalyse trick concepts
Basi hapo ndio unajion wew ndio standard ya kichwa kizima.

Fikiria upya, utapata majibu.

Ukiishi katika mazingira A then ukaja B , uta tambua...ila ukiishia kuishi standard ya maisha B peke yake then maisha A ulienda kutembea na kutalii , kwa siku kadhaaa huwezi tambua kitu.
 
Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,110
2,000
Ukilala B unaanza kutoa ndoto za mwendelezo kama za mtuhuniwa Lema..hatimae ndoo ya mtondoo inakuhusu.

Enhee!! Si unataka mkwanja ujenge mabanda ya uhani! Hapo sasa! Ndio kama Lipumba prof wa kwiango cha dunia anang'atwa na mbu Buguruni! Hatari!

Pale mjengo A . hahahaha life is Good, wild and free...asubuhi alfajiri ndege wanalia dirishani kwa melody murua, huna deni huna nyumba Kali kwa hiyo siyo maskini kama Grace matata...you live care free..! Basi tu ila sometimes maisha ni mepesi saana.
acha fix hapo a mvua ikinyesha,unaota tu unakimbizwa na simba
 
mni

Senior Member
Sep 30, 2016
127
225
A maana wao hawawaz kuvamiwa na majambaz na hata hawana walinzi wa kuwalinda ndo maana panaonekana hamna hata fence
 
Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,793
2,000
acha fix hapo a mvua ikinyesha,unaota tu unakimbizwa na simba
Thubuuutu! Hapo umepaka mafuta yako ya kitamaduni yanaitwa "Tambati ya sengo" unalala nyumba ya mlango wa kusukuma kwa ubua ila simba akija akisikia Yale mafuta anavurugwa ufahamu..anakuona kama Rambo, shwaziniga. Tamaduni za bush zinamakes life easy and smooth.

Ila nice to see you here..the woman of my dream...@miss natafuta Hopefully you doin pretty cool!?
 
dafity

JF-Expert Member
Aug 16, 2008
1,747
2,000
Ukilala B unaanza kutoa ndoto za mwendelezo kama za mtuhuniwa Lema..hatimae ndoo ya mtondoo inakuhusu.

Enhee!! Si unataka mkwanja ujenge mabanda ya uhani! Hapo sasa! Ndio kama Lipumba prof wa kwiango cha dunia anang'atwa na mbu Buguruni! Hatari!

Pale mjengo A . hahahaha life is Good, wild and free...asubuhi alfajiri ndege wanalia dirishani kwa melody murua, huna deni huna nyumba Kali kwa hiyo siyo maskini kama Grace matata...you live care free..! Basi tu ila sometimes maisha ni mepesi saana.
Haya mashairi yakp matamu unaweza kutoa "Singo" ikaipiku ya Darasa...Nimeyapenda
 
Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,793
2,000
Haya mashairi yakp matamu unaweza kutoa "Singo" ikaipiku ya Darasa...Nimeyapenda
Ahahaha!! You're the man! Maana uemona kitu ambacho sikukiona wala kuplan..ila nimerejea maandishi niliyoandika sio siri its musical kabisa.

Nakuasa darasa Nakuja na ngoma ya visa na mikasa kama siasa za Lumumba.

Eureka!!
 
Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,110
2,000
Thubuuutu! Hapo umepaka mafuta yako ya kitamaduni yanaitwa "Tambati ya sengo" unalala nyumba ya mlango wa kusukuma kwa ubua ila simba akija akisikia Yale mafuta anavurugwa ufahamu..anakuona kama Rambo, shwaziniga. Tamaduni za bush zinamakes life easy and smooth.

Ila nice to see you here..the woman of my dream...@miss natafuta Hopefully you doin pretty cool!?
sijambo mwanaume wa mkoa ukija tena dar nitafute
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom