Ni njia gani ulitumia hadi ukawa Tajiri?

comesucces

Senior Member
Feb 21, 2017
160
105
Alhamdullaah mwenyezi Mungu uliyetupa uhai hadi sasa

Helo ndugu zanguni KATIKA Adam najua kila MTU yuko Na njia zake za mafanikio lakini kuna wale waliofanikiwa tayari tena huenda wakiwa KATIKA umri mdogo au mkubwa lakini ombi langu ni kuwa kama mwenzetu umeshafaniki tunakuomba usumbuke tu dakika tano kutujulisha hata kwa ufupi ni mbinu gani au biashara gani iliyokuweka hapo mjini au inakufanya uzidi kupata Uhuru Wa matumizi ya Pesa tusaidie sisi ambao bado hatujui ni fursa gani au Biashara gani tufanye ili itusaidie kujikwamua kiuchumi tusaidie ndugu maana unaposaidia Na mwenyezi mungu aonaye sirini atakujazi
 
mkuu ungejieleza vizuri wewe ni mtu gani wa uwezo gani ili tujue tunaongeaje na tunasaidianaje. elimu yako , umri wako na mahala ulipo na jinsia pia. hiyo ingesaidia tujue tunakupa mchongo gani maana michongo ipo mingi sana
 
Nilikuwa nakula mlo mmoja kwa miezi mitano
 
mkuu ungejieleza vizuri wewe ni mtu gani wa uwezo gani ili tujue tunaongeaje na tunasaidianaje. elimu yako , umri wako na mahala ulipo na jinsia pia. hiyo ingesaidia tujue tunakupa mchongo gani maana michongo ipo mingi sana
mie ni majasiriamali mdogo sana kipato changu kwa mwezi hakizidi 400000 lakini pia ni mwalim niliyesitishiwa ajira ko nilitaka kwa watu kama ninyi wenye moyo Wa kusaidiana mnisaidie ni namna gani nikawa Na kipato endelevu yaani shughuli ambayo ni permanent Na sio temporary kama ilivyo sasa nitashukuru kupata msaada wako hata kwa kuku pm for more info
 
mkuu pole sana kwa kusitishiwa ajira. na je upo mkoa gani hapa Tanzania?
 
Itakuwa ni vigumu sana mtu kukwambia njia aliyo pitia kufikia hapo alipo/utajiri wake kaupataje.......

Utajiri upo mikono mwa binadamu... Kwenye kilimo utajiri upo nje nje.... Miaka mi 3 iliyopita niliilima shamba la mpunga hapo morogoro, awamu moja tu nikapiga hela ndefu nikasepa zangu!

Kwenye kilimo kuna utajiri wa ajabu sana
 
Utajiri wewe unaoongelea ni ipi?? Au labda unachanganya maana kuna mwenye mafanikio na tajiri,,na kuna mwenye mali lakin hana mafanikio sasa weka sawa nikusaidie mdogo wngu maana naona nitakua nmekuzid umri
 
Nguruwe ndio walionipa pesa,nilianza na nguruwe 15 tu.after 3yrs niliingia mil 105 tu...lakini 2012 nikasitisha ufugaji but 2019 nataka nirudi tena katika ufugaji wa kuku kienyeji na nguruwe.. kikubwa kuwa mvumilivu tu ujitoe kimwili na kiroho,yatupasa kumuomba Mungu kwa kila jambo
 
ufagaji ulikuwa wapi mjini au shambani kijijini??
 
Alhamdullaah mwenyezi Mungu uliyetupa uhai hadi sasa

Helo ndugu zanguni KATIKA Adam najua kila MTU yuko Na njia zake za mafanikio lakini kuna wale waliofanikiwa tayari tena huenda wakiwa KATIKA umri mdogo au mkubwa lakini ombi langu ni kuwa kama mwenzetu umeshafaniki tunakuomba usumbuke tu dakika tano kutujulisha hata kwa ufupi ni mbinu gani au biashara gani iliyokuweka hapo mjini au inakufanya uzidi kupata Uhuru Wa matumizi ya Pesa tusaidie sisi ambao bado hatujui ni fursa gani au Biashara gani tufanye ili itusaidie kujikwamua kiuchumi tusaidie ndugu maana unaposaidia Na mwenyezi mungu aonaye sirini atakujazi
kuna msemo:ni heri ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuona ufalme aa mbingu.
sifa ya kuwa tajiri
1:roho mbaya
kuwa na marengo ya pesa yako kwa kila jambo na si kwa msaada wala jambo lolote.
2: masilai binafsi
jaribu kila pesa yako isiwe ya urafiki ni ya kuzalisha tu.
3:kutokuwa na marafiki
kujitenga na watu walio mzigo au hata ushauri usio kuwa akili au mawazo kwako unapo taka kufanya maamuzi ya kupiga pesa au kutoka.
4:ushirikana
kila tajiri lazima ajiweke sawa kwa kila idara kuanzia ubinadamu,vikwazo na uchawi yani uganga, majini, n.k
5:riba kubwa
penda faida kuliko thamani ya kitu na usijali kilicho mbele.

haya machache
 
Back
Top Bottom