Ni nini tofauti ya Vibwengo, Vikaragosi, na Vinyamkera?

Pi Network

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
290
319
Kama kichwa cha habari kinavyosema; majina hayo yamekuwa yakitajwa na kukemewa sana hasa viongozi wa dini katika huduma zao za maombezi.
Halikadhalika vitu hivyo vyenye majina hayo vimekuwa vikielezewa kwa namna mbalimbali hasa kwa simlizi zenye kuogopesha, na kusisimua, kwa kuhusishwa moja kwa moja na imani ya nguvu za giza.

Hivyo naomba kujua kutoka kwa anayejua tofauti yao kutokana na majina yao halikadhalika utendaji wao.

Mwisho natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa wakuu wote wa jukwaa hili maridhawa...
 
Back
Top Bottom