Juzi zimetokea fujo na vurugu za kidini mwanza. Wameshikiliwa watu kadhaa kwa fujo hizo. Cha ajabu watu hao wakaachiwa baada ya
mazungumzo baina ya kamati ulinzi na usalama na BAKWATA Mwanza. Tatizo si kuachiwa kwao, bali sababu. . kwamba 'ni kuhakikisha
tunaweka mambo sawa na kuhakikisha amani na usalama'.
My take:
1. Sidhani kama ni utaratibu mzuri kuwaachia watuhumiwa kwa sababu za kulinda amani. Watuhumiwa waachiwe ikiwa tuu hawana makosa kwa
kuthibitishwa na mahakama kama katiba yetu inavyotaka. Ikiwa wakristo watafanya maandamano na fujo kuwatetea hao wachoma kuran, hao
watuhumiwa wataachiwa ili kulinda amani?
2. Kwanini maamuzi kama hayo hayafanywi Arusha ambako amani iko mashakani kila kukicha? Tutafsiri vipi maamuzi ya namna hii? Si ni polisi
hao hao wanahusika. Tanzania should strive to avoid double standards kwa kweli.

sioni tatizo kama wameachiwa kwa maslahi ya nchi ndio maana hata wafungwa hupewa msamaha
Hujaeleweka mkuu unataka kusema nini?Juzi zimetokea fujo na vurugu za kidini mwanza. Wameshikiliwa watu kadhaa kwa fujo hizo. Cha ajabu watu hao wakaachiwa baada ya
mazungumzo baina ya kamati ulinzi na usalama na BAKWATA Mwanza. Tatizo si kuachiwa kwao, bali sababu. . kwamba 'ni kuhakikisha
tunaweka mambo sawa na kuhakikisha amani na usalama'.
My take:
1. Sidhani kama ni utaratibu mzuri kuwaachia watuhumiwa kwa sababu za kulinda amani. Watuhumiwa waachiwe ikiwa tuu hawana makosa kwa
kuthibitishwa na mahakama kama katiba yetu inavyotaka. Ikiwa wakristo watafanya maandamano na fujo kuwatetea hao wachoma kuran, hao
watuhumiwa wataachiwa ili kulinda amani?
2. Kwanini maamuzi kama hayo hayafanywi Arusha ambako amani iko mashakani kila kukicha? Tutafsiri vipi maamuzi ya namna hii? Si ni polisi
hao hao wanahusika. Tanzania should strive to avoid double standards kwa kweli.
Kwa kuanzia hakuna mtu aliyechoma kuran. Ni kuwa walichoma karatasi yenye kaaba na wasichana 2 wakiwa wamejishika mikono katika kuiabudu. Walichoma kwa sababu mama waliyemwombea akatokwa na majini alidai karatasi hiyo inamyima amani. Ilichomwa pamoja na hirizi zilizokuwa zimetolewa na mganga. Basi hasira ni kuwa kwa nini akakubali kuombewa na makafiri? Na majini hayo "matakatifu" yakanyimwa haki yake ya makao.
Hao waliwekwa ndani muda mrefu tu. Kisa eti wametuhumiwa kuchoma kkurani. waliochoma makanisa 3 baada ya hapo kama kitendo cha kulipiza kisasi wao hawakukamatwa!! Je hii si double standard?
hakuna jambo la maana linaloliona kwenye post yako zaidi ya kutudodosa imani zetu na kufurahia jinsi tutakavyovutana kuhusu suala hilo
Jiulize raisi, makamu wake, raisi wa nchi jirani ya zanzibar na makamu wake, waziri wa ulinzi, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa jeshi la polisi, mnadhimu mkuu wa jeshi la ulinzi nk nk ni akina nani? ukilijua hilo ndo ujue hatari inayowakabili wale wanaotofautiana nao kiimani.
Juzi zimetokea fujo na vurugu za kidini mwanza. Wameshikiliwa watu kadhaa kwa fujo hizo. Cha ajabu watu hao wakaachiwa baada ya
mazungumzo baina ya kamati ulinzi na usalama na BAKWATA Mwanza. Tatizo si kuachiwa kwao, bali sababu. . kwamba 'ni kuhakikisha
tunaweka mambo sawa na kuhakikisha amani na usalama'.
My take:
1. Sidhani kama ni utaratibu mzuri kuwaachia watuhumiwa kwa sababu za kulinda amani. Watuhumiwa waachiwe ikiwa tuu hawana makosa kwa
kuthibitishwa na mahakama kama katiba yetu inavyotaka. Ikiwa wakristo watafanya maandamano na fujo kuwatetea hao wachoma kuran, hao
watuhumiwa wataachiwa ili kulinda amani?
2. Kwanini maamuzi kama hayo hayafanywi Arusha ambako amani iko mashakani kila kukicha? Tutafsiri vipi maamuzi ya namna hii? Si ni polisi
hao hao wanahusika. Tanzania should strive to avoid double standards kwa kweli.
Hapo ndipo hatari ilipo. Maana kama mahakama itaona kosa hilo la kuchomwa kurani halitathibitika maana yake wataachiwa huru. Then u can guess
what next! Maana kama kuahirishwa kwa kesi thats what happening, vipi wakiachiwa huru? and somebody with emotions will say ni mtizamo wa
kidini. We have to go to the substance of the matter.