kama hatua hiyo imeepusha vurugu hata kama hukupendezwa nayo kwa jamii nzima ni hatua njema kwa afya ya taifa letu
hatuwezi tetea wahalifu eti kwasababu tumeepusha vurugu leo.lazima wahuni washughulikiwe bila kuangalia wao ni wakristo ama waislamu,bila hivyo sijui watawala wetu wanatupeleka wapi!!!