Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,257
- 34,205
Kama ni rahisi ki hivyo ungemsaidia kupata wateja kabisa ili 40k yake kwa mwezi iwe na faida...!Si biashara ngumu kivile kama umejipanga. Unaweza Anza na reseller hosting ambayo nzur ni kama kuanzia 40000 kwa mwezi. Ukianza kupata wateja wengi una upgrade kwenye vps
Njunwa Wamavoko hiyo knowledge ya web hosting ni kama zipi...infact i know some basics za php...css html
Je hiyo whmcs inahitaji niwe na server zangu mahali??
Na inakuaje nikitaka niwe na server zangu..pc ambazo ziko on all the time...italipa??
Shukran sana mkuu...nimekupata!!Umewahi ku Host site yoyote wewe mwemyewe bila msaada au ndo unataka kuanizsha web hosting business lakini utashindwa kutoa simple troubleshooting kwa wateja wako?
Hicho ndicho nilichomaanisha kuhusu kipengele cha swala la knowldge.
Hiyo WHMCS ni just additional tu ndo maana nkaiweka kama +/- ila kuwa nayo inasaidia sana sana ukiwa na payment gateway na ni rahisi sana ku manage clients wako kwa hii japo sio bure waweza google details zake na haina correlation na kuwa na server yako.
Hiyo njia ya tatu ndio ilikua target yangu mkuu!! Kuwa na server yangu alafu watu waje ku host kwangu!! Najua kitanzania lazima uwe na standby au automatic generator ambayo ita take over umeme ukikata!!kibongo bongo wengi ni reseller mkuu wananunua hosting kwa makampuni makubwa na kukuuzia wewe kwa rejareja, kama unataka biashara hii sio ngumu na muda mchache tu unaweza ukawa na wewe una kampuni ya hosting. mfano mimi hosting ninayotumia wana hio plan ya reseller unaweza angalia
Reseller Hosting - Cheap Reseller Hosting | Namecheap.com
kwa watu wajanja mara nyingi hawanunui kwa reseller huwa wananunua kwenye site maarufu zinazoaminika, hivyo biashara hii mara nyingi hutegemea wateja ambao ndio wanaanza anza.
njia ya pili ni kutumia cloud service kama microsoft azure na amazon cloud, hizi unanunua space na kutengeneza unachotaka wewe kama hio biashara ya hosting lakini hii itahitaji utaalam zaidi.
njia ya Tatu ni kuwa na server zako mwenyewe, hii ni risk na ina gharama kubwa ila utakuwa kama monopoly kama itafanikiwa sababu sijawahi sikia hosting za kibongo bongo zinazo target watu wa kawaida.
faida ya hosting ya hapa hapa Tanzania ni kwamba vitu vya ndani vitafunguka kama unasoma gazeti, server ipo kariakoo, mtumiaji yupo magomeni, ping 1ms hapo ukiclick tu page inafunguka,
jambo muhimu kwenye server ni pc zinazokula umeme mdogo na zenye nguvu kama xeon phi, na umeme wa uhakika masaa 24.
Hiyo njia ya tatu ndio ilikua target yangu mkuu!! Kuwa na server yangu alafu watu waje ku host kwangu!! Najua kitanzania lazima uwe na standby au automatic generator ambayo ita take over umeme ukikata!!
Je kiasi gani kitatosha kama nikianza na server ya chini huku nikijikuza?? Thanks kwa mawazo!
hapo hadi ufanye utafiti wa soko kwanza, naweza kukuangalizia bei ya hardware lakini hio ni issue ndogo tu hapo kuna bei ya software, administration etc, ni vitu vinavyohitaji wataalam zaidi.Hiyo njia ya tatu ndio ilikua target yangu mkuu!! Kuwa na server yangu alafu watu waje ku host kwangu!! Najua kitanzania lazima uwe na standby au automatic generator ambayo ita take over umeme ukikata!!
Je kiasi gani kitatosha kama nikianza na server ya chini huku nikijikuza?? Thanks kwa mawazo!