Ni nini mateokeo ya chadema kutoshiriki uchaguzi mwaka huu?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Chama kikuu cha upinzani, Chadema bado kinaendelea kusimamia ajenda yao ya No reforms, No elections ambayo ina lengo la kuitaka serikali kufanya mabadiriko kwenye sera na kanuni za uchaguzi mkuu.
Vyama vya upinzani vimekuwa vikilalamikia sera ya uchaguzi kutotoa uwanja sawa kwa vyama vyote kushiriki uchaguzi kwa haki sawa.

Hoja kuu za Chadema ni:
1. Mabadiliko katika tume ya Uchaguzi: Chadema na vyama vingine vya upinzani wanashinikiza iwepo Tume Huru ya Uchaguzi.
2. Matokeo ya Uchaguzi kupingwa mahakamani.
3. Ushindi wa rais usipungue asilimia 51% ya waliopiga kura ili kuakisi uwakilishi halali.

Je hoja zao ni za msingi?
1. Tume huru ya uchaguzi: hili ni jambo la msingi katika kuleta haki sawa si tu kwa vyama vya siasa, bali pia kwa wananchi. Hali iliyopo kwa sasa ni kwamba mnaenda kushindana na mtu ambaye referees wote ni wake (kwa maana ya kwamba kawateua rais aliyepo madarakani na anayegombea, pia anaweza kuwafuta kazi muda wowote). Pia kumekuwa na tuhuma za kutangazwa matokeo isivyo halali kama alivyothibitisha Mzee wa Goli la mkono. Na wagombea wa vyama vya upinzani kuenguliwa. Ushiriki wa vyombo vya usalama kwenye mchakato wa uchaguzi nao umekuwa ukilalamikiwa kupendelea chama fulani.

2. Matokeo kupingwa mahakamani: Msingi wa hoja hii ni kutokana na uhalali wa matokeo ya hapo juu. Rafu ni nyingi mnoo, na refarii hawana la kufanya na uenda na wao ni sehemu ya rafu zenyewe. Na unakuta mshindi mwenyewe hajafikisha idadi hata nusu ya waliopiga kura, achilia mbali idadi ya walio na umri wa kupiga kura.

3. Ushindi wa 51%+ ya waliopiga kura: Hii inakupa uhalali mzuri sana mshindi. Ikiwa atangazwa mshindi ambaye hajafikisha 51% ya wapiga kura, hii ni sawa na mwanafunzi aliyefeli kutangazwa kafaulu kisa maksi zake za kufeli zinawashinda wengine. Ila pia kuna issue ya uwakilishi wa watanzania. Ikumbukwe kuwa rais anawakilisha wananchi wake. Ndiyo maana utasikia akisema au kuandika KWA NIABA YA WATANZANIA. Hata mikopo hachukui yeye, ila kwa niaba ya watanzania.

Kumbukumbu zinaonyesha kuwa katika chaguzi:
Mwaka 2010: Watanzania 8,398,415 tu walishiriki uchaguzi.
Mwaka 2015: ni watanzania 15,193,862 walipiga kura.
Mwaka 2020: ni 15,091,950 tu walipiga kura.

Pia ikumbukwe kuwa Watanzania wengi hawapiga kura kuchagua viongozi.

Sasa linapokuja suala la NO REFORMS, NO ELECTION hili ni jambo muhimu na nyeti katika uchaguzi halali.

Huo ni mtazamo wangu.
 
Dhidi ya nani
Kupiga kura sio lazina kuwe na mpinzani ilishaamriwa na mahakama kuwa hakuna mtu kupita bila kupingwa hata akiwa mgombea pekee kwenye uchaguzi mkuu ni lazima apigiwe kura

Hata vyama vyote visuse wabakie wagombea wa CCM tu sheria inataka kuwa lazima wapigiwe kura

Nitaenda kupiga kura
 
Gentleman,
kwa katiba ya Tanzania, hata wakijitokeza wapiga kura wa3 tu nchi nzima, atakaepata kura2 atatangazwa mshindi, atakamata dola, ataunda na kuongoza Serikali na watanzania wote bila mbambamba yoyote.

hakuna unyeti wowote hapo, ndiyo maana hiyo no reform no elections ni useless, nonsense, null and completely void 🐒
 
Kupiga kura sio lazina kuwe na mpinzani ilishaamriwa na mahakama kuwa hakuna mtu kupita bila kupingwa hata akiwa mgombea pekee kwenye uchaguzi mkuu ni lazima apigiwe kura

Hata vyama vyote visuse wabakie wagombea wa CCM tu sheria inataka kuwa lazima wapigiwe kura

Nitaenda kupiga kura
Kuna haja gani kama hata ukipigia kivuli hakiataheshimiwa
 
Chama kikuu cha upinzani, Chadema bado kinaendelea kusimamia ajenda yao ya No reforms, No elections ambayo ina lengo la kuitaka serikali kufanya mabadiriko kwenye sera na kanuni za uchaguzi mkuu.
Vyama vya upinzani vimekuwa vikilalamikia sera ya uchaguzi kutotoa uwanja sawa kwa vyama vyote kushiriki uchaguzi kwa haki sawa.

Hoja kuu za Chadema ni:
1. Mabadiliko katika tume ya Uchaguzi: Chadema na vyama vingine vya upinzani wanashinikiza iwepo Tume Huru ya Uchaguzi.
2. Matokeo ya Uchaguzi kupingwa mahakamani.
3. Ushindi wa rais usipungue asilimia 51% ya waliopiga kura ili kuakisi uwakilishi halali.

Je hoja zao ni za msingi?
1. Tume huru ya uchaguzi: hili ni jambo la msingi katika kuleta haki sawa si tu kwa vyama vya siasa, bali pia kwa wananchi. Hali iliyopo kwa sasa ni kwamba mnaenda kushindana na mtu ambaye referees wote ni wake (kwa maana ya kwamba kawateua rais aliyepo madarakani na anayegombea, pia anaweza kuwafuta kazi muda wowote). Pia kumekuwa na tuhuma za kutangazwa matokeo isivyo halali kama alivyothibitisha Mzee wa Goli la mkono. Na wagombea wa vyama vya upinzani kuenguliwa. Ushiriki wa vyombo vya usalama kwenye mchakato wa uchaguzi nao umekuwa ukilalamikiwa kupendelea chama fulani.

2. Matokeo kupingwa mahakamani: Msingi wa hoja hii ni kutokana na uhalali wa matokeo ya hapo juu. Rafu ni nyingi mnoo, na refarii hawana la kufanya na uenda na wao ni sehemu ya rafu zenyewe. Na unakuta mshindi mwenyewe hajafikisha idadi hata nusu ya waliopiga kura, achilia mbali idadi ya walio na umri wa kupiga kura.

3. Ushindi wa 51%+ ya waliopiga kura: Hii inakupa uhalali mzuri sana mshindi. Ikiwa atangazwa mshindi ambaye hajafikisha 51% ya wapiga kura, hii ni sawa na mwanafunzi aliyefeli kutangazwa kafaulu kisa maksi zake za kufeli zinawashinda wengine. Ila pia kuna issue ya uwakilishi wa watanzania. Ikumbukwe kuwa rais anawakilisha wananchi wake. Ndiyo maana utasikia akisema au kuandika KWA NIABA YA WATANZANIA. Hata mikopo hachukui yeye, ila kwa niaba ya watanzania.

Kumbukumbu zinaonyesha kuwa katika chaguzi:
Mwaka 2010: Watanzania 8,398,415 tu walishiriki uchaguzi.
Mwaka 2015: ni watanzania 15,193,862 walipiga kura.
Mwaka 2020: ni 15,091,950 tu walipiga kura.

Pia ikumbukwe kuwa Watanzania wengi hawapiga kura kuchagua viongozi.

Sasa linapokuja suala la NO REFORMS, NO ELECTION hili ni jambo muhimu na nyeti katika uchaguzi halali.

Huo ni mtazamo wangu.
Kuna kitu umekiona, ngoja wajaribu kugeuza upepo, wakishindwa hawana jinsi kuja mezan. La wakajitia ujeuri na intelijinsia yao, watalamba jeuri yao
 
Back
Top Bottom