Ni nini maoni yako?

lah,imeniuma sana! Lakini the gvnment of TZ ijue kuwa iko very responsible to make sure that, her citizens get all their basic needs. But the disabled group like this,needs more and more special requirements! Kwa vile something is better than nothing,,serikali kama ingewandalia kam-radi kadogo tu kwa ajili ya mlo tu wa kila siku it will be a hope to this my poor & disadvantaged family! Mungu ibariki familia hii maana haina makosa kabisaa kwako!
 
I have never heard physical disability being hereditary. So how come these kids from the same family are physically disabled? Could it be something in their environment like the food they eat or the water they drink? This could be a research challenge to our scientists/doctors if they were not busy quoting Europeans, Americans, etc. instead of doing real scientific work.

Naungana na wewe katika hili.
Inaelekea katika familia hii kuna ndugu walio oana.
Hii inatokea na kule kwetu ulaya inaitwa incest.
Katika kuoana zile genes zenye mapungufu(kama ulemavu) zinakuwa amplified na kujitokeza wazi wazi.
Huyu mzee ajaribu kuangalia family tree yake ikoje lazima makaka na madada wameoana.
 
Sio May God bless him bure....tuangalie njia ya kumsaidia hawa watoto wanaonekana wana ulemavu unaoweza kutibika hata kama sio wote.... Kipite kibaba tuone tutawasaidiaje hawa...au mnasemaje wenzangu?
Yah ili la kuwasaidia ndio muhimu zaidi hata kama tunawaombea. Fanya strategies, mimi nitachangia chochote nilicho nacho, niko tayari
 
kwa mungu kila kitu chawezekana!tumshukuru mungu kwa kila jambo.
 
Back
Top Bottom