Chami ni sumu mkuu.Kama wiki mbili zilizopita, waziri Chami alishindwa kuendelea na ziara jimboni kwake na kukimbilia India kwa matibabu. Wakati serikali inatoa taarifa kuhusu viongozi wagonjwa walioko India, iliokana kuwa haina habari na kuwepo kwa waziri Chami huko India. Uvumi ni mkali kuwa haijulikani yuko India au wapi.
Pia, ugonjwa wa Dr. Chami umekuwa ni siri kubwa sana kwa muda mrefu kiasi ambacho ni habari kiduchu zinatolewa kuhusu afya yake ukilinganisha na viongozi wengine hususani Prof Mwndosya, Mwakyembe na Zitto Kabwe.
Wananchi wanahitaji kujua afya ya kiongozi wao hasa wapiga kura wake wa jimbo la Moshi Vijijini kwa kuwa UKISHACHAGULIWA KUWA KIONGOZI WAKO MAISHA YAKO NI KIOO NI LAZIMA WALIOKUCHAGUA WAJUE KUHUSU WEWE.
Chami ni sumu mkuu.
wanadai anaweza kuwa mgombea uraisi wa CCM. nasikia ni mchapakazi na ni kichwa.....
wanadai anaweza kuwa mgombea uraisi wa CCM. nasikia ni mchapakazi na ni kichwa.....
Tunaomba dua lako liwe la kheri bana!! huyo dogo ni jembe la ukweli na ninamwaaminia. kama Mugabe na utu uzima wake ameweza KUIONGOZA ZIMBABWE hakika huyu akibeba bendera ya CCM mambo yatakuwa poa sana Hata kama ni mgonjwa. Jingine ni kwamba huyu dogo anawanyima raha mafisadi wa ccm ile mbaya kwa sababu hana kitu pamoja na kufanya kazi DARUSO, MAGOGONI na MJENGONI miaka Kibao dogo hana hata gari binafsi ya kutembelea. kama mnabisha mwenye data azimwage hapa HUU NDIO MWARUBAINI WA MAFISADI NA SIYO HAO WANAOPIGA KELELE USIKU NA MCHANA
Kabla ya kujibu swali leo alilitaarifu bunge kwamba AMEPONA!
wanadai anaweza kuwa mgombea uraisi wa CCM. nasikia ni mchapakazi na ni kichwa.....
Alitoa taarifa hiyo kwa njia gani..??