Ni nini hiki wanachokifanya Vijana wa CHADEMA?

Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?

mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa

mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo

kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683

..hiyo ni FREE SPEECH.

..upande wa pili nao unaweza kuigiza na kudhihaki hoja za mawakili wa Mbowe.
 
Hiyo ni copy & paste toka mahakamani.

Yaani hata kuiga tu alichosema polisi ni kosa nchi hii duuuh.
 
Mna roho mbaya sana MaCCM. Kuumizwa mtuumize , makesi ya kijinga mtuchongee na tusiseme. Nyie MaCCM mnastahili kufukiwa mkiwa hai.
 
Tatizo liko wapi hapo? na una mawazo ya kifala sana, nyie ndio wale mazuzu mliokuwa mnashangilia Bashite alivyokuwa anatishia watu na list yake ya wauza unga na kutishia kuwatia vidole matakoni kuwapima kama ni mashoga
 
Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?

mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa

mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo

kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
Wazee wa mkong'oto wakiwazukia watalalamika
 
Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?

mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa

mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo

kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
Mzee unachukizwa na nini hapa?? Kuna watu mna matatizo wama vichwani.

Yaani watu kumtaka Mtu wao aachiwe inakukera??
 
Tatizo liko wapi hapo? na una mawazo ya kifala sana, nyie ndio wale mazuzu mliokuwa mnashangilia Bashite alivyokuwa anatishia watu na list yake ya wauza unga na kutishia kuwatia vidole matakoni kuwapima kama ni mashoga
Mleta mada ni wale wale😀😀😀
 
H
Mtaalaniwa nyie na vizazi vyenu vyote. Toeni mkongoto tu. Kamuulize Jiwe aliko alikuwa anatoa mkongoto si wa nchi hii. Sasa yuko wapi?
Huna uhakika na laana yetu! Ila UHAKIKA KWA LAANA YAKO HAUNA UTATA!!!!! Eeeh eeeeeeh
Hakuna atakae ishi milele.
 
Back
Top Bottom