Ni Nini hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Nini hii?

Discussion in 'JF Doctor' started by ngoshwe, Jun 15, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wakluu, pengine unaweza kuamka mwili wote unauma kama dalili zote za malaria. Ukienda kupima hakuna kitu. Wakati mwingine kichwa kinakuwa kizito kama ubongo umejam vile, unasikia kizunguzungu kikali sana na wakati fulani hupendi kusikia mtu akikusemesha,..ukisikia kelele mapigo ya moyo yanabadilika ghafla na kwenda kasi, pengine inapelekea uwe na hasira za mara kwa mara.. unaweza kukaa unaingiwa na hofu na pengine kushindwa hata kuendesha gari kwa woga!.

  Kwa mwenye utaalamu wa hali hii tafadhali!.
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Mufanyage na mazoezi ati.
   
 3. mkute

  mkute Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hizo ni dalili za kupagawa na mapepo, sikia nakupa dawa HAKUNA JINA JINGINE CHINI YA JUA WALILOPEWA WANADAMU LIPASALO KUOKOLEWA KWALO ILA JINA LA YESU! Sasa nakuweka huru,mapepo hayana nafasi ya kukutesa tena! jini maimuna nakuamuru kumwachilia kwa jina la YESU TOKAAA!
  Sasa umepona kabisa hutaona tena hizo dalili we chapa kazi na usisahau kumshukuru Mungu kwa ajili ya Yesu kristo!
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Fanya mazoezi!
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni menopause...
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  hii ni kali zaidi

   
 7. jamadari

  jamadari JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 295
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Menopause si kwa ajili ya Mwanamke au Mwanamme pia anaweza kuwa na Menopause?
   
 8. jamadari

  jamadari JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 295
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hujatueleza wewe una Umri gani? Umeowa? Au una mpenzi? ? una fanya kazi? sasa tutaweje kukupa dawa inayo kufaaa?
   
Loading...