Tupe unachofahamu.
Katika suala hili unaweza kuuliza ni nini hakufanyiwa huyu binti tutafute majibu kwa muhusika, lakini ukweli halisi ni kama ulivyoandikwa na binti muhusika analikubali hilo.
Na hata tuki-assume kuwa haridhishwi, je kwa hao wanaume zaidi ya watatu anao wa maintain, ina ashiria nini?
Assuming hadi ampate maafa ya maradhi yatakuwa hayajaangukia kaya yake.bado ana search apate yule anayemfaa....yawezekana ana list ndefu tu,akimpata yule amatakaye atatulia
So, kwa hao wanaume zaidi ya 3 ndo anakipata?
Assuming hadi ampate maafa ya maradhi yatakuwa hayajaangukia kaya yake.
Just ask specific question, tutaleta majibu yake.
Pesa sabuni ya roho mama,money can't buy you happiness but it can make you live comfortably! zikipungua nyumbani mama na mikwaruzo inaongezeka,tena wengine wanabeba na begi kabisaaa na kuupwaka tena kwa visingizio kibao!Hapo tu ndo panakuwa shida heshima iwe mbele mipesa na migari yako ni vya ziada tu havisaidii.
Kuna mtu mmoja mie niliexperience kwenye msiba (Mbulu) alikuwa jamaa anafanya halimashauri na ni mhasibu bana yule jamaa alikuwa na gari nzuri nyumba nzuri watoto wanasoma Arusha international school nk. sasa huyu jamaa kila ikitokea misiba anafika anaangalia daftri tu anaweka mchango tena si wakitoto mkubwa hasa na hakuna atakayeufikia halafu anakula lapa harusi hivyo hivy Mungu alimpa bonge ya kofi mkewe alifariki (R.I.P ) watu walimfanyia hivyo hivyo walikuwa wanakwenda kusign na kuondoka anashangaa kwani nini ndo mzee mmoja akamwambia unakosea omba msamaha kwa kijiji unavyofanya kwenye misiba ya watu ndo wamekufanyia uone kwamba pesa si zaidi ya utu kukaa kwenye msiba ni zaidi ya kutoa pesa. Alishika adabu.
So wanaume hatuhitaji pesa zenu bila utu wenu
Nakutolea mfano mmoja kuna dada mmoja yeye alikuwa anapewa kila kitu na mume wake i mean kila kitu mpaka mumewe alifikia hatua ya kumfungulia biashara lakini still akawa anatoka nje ya ndoa yake, anahonga wanaume hela ambazo ni mumewe anampatia, watu wakimuuliza kwanini unafanya hivyo yeye anasema ndio tabia yake hawezi kubadilika sasa luckly enough siku mume alipokuja kugundua mbaya zaidi ni pale ambapo alikuwa ametembea karibia na every tom dick and harry katika mtaa wanaoishi so sometimes ni hulka ya mtu mwingine ndio inakuwa hivyoNoted with thanks.
Kwa nini wanaamua kufanya hizo njia zao?
To be fair katika ushauri wa kimahusiano, huwezi toa judgement kwa kutumia information toka upande mmoja. Hata kama hii ni story yako
bado msuluhishi au mtoa ushauri hawezi kutumia maelezo ya upande mmoja. Kila mwamba ngoma ngzi huivutia kwake.
Hata hivyo, wewe umetaka kujua nini mwanamke anahitaji. Umegeneralise. Halafu unataka specific questions. How unfair you are.
Any verdict itakuwa ya kikandamizaji kwa vile unaonekana kutaka kuukandamiza ukweli.
Susy wapo wanaopata kila kitu lakini wapi hiyo kwenye red wengi wanatumia kama kisingizioduh!! mambo yote hayo ni mwanamke tu!!
lbd na ww mkaka unamatatizo tena makubwa tu, haiwezekani eti umfanyie mtu yote hayo alafu bado atoke nje, lbd jogoo lako halipandi!!!
duh!! mambo yote hayo ni mwanamke tu!!
lbd na ww mkaka unamatatizo tena makubwa tu, haiwezekani eti umfanyie mtu yote hayo alafu bado atoke nje, lbd jogoo lako halipandi!!!
Hapo tu ndo panakuwa shida heshima iwe mbele mipesa na migari yako ni vya ziada tu havisaidii.
Kuna mtu mmoja mie niliexperience kwenye msiba (Mbulu) alikuwa jamaa anafanya halimashauri na ni mhasibu bana yule jamaa alikuwa na gari nzuri nyumba nzuri watoto wanasoma Arusha international school nk. sasa huyu jamaa kila ikitokea misiba anafika anaangalia daftri tu anaweka mchango tena si wakitoto mkubwa hasa na hakuna atakayeufikia halafu anakula lapa harusi hivyo hivy Mungu alimpa bonge ya kofi mkewe alifariki (R.I.P ) watu walimfanyia hivyo hivyo walikuwa wanakwenda kusign na kuondoka anashangaa kwani nini ndo mzee mmoja akamwambia unakosea omba msamaha kwa kijiji unavyofanya kwenye misiba ya watu ndo wamekufanyia uone kwamba pesa si zaidi ya utu kukaa kwenye msiba ni zaidi ya kutoa pesa. Alishika adabu.
So wanaume hatuhitaji pesa zenu bila utu wenu
Pesa sabuni ya roho mama,money can't buy you happiness but it can make you live comfortably! zikipungua nyumbani mama na mikwaruzo inaongezeka,tena wengine wanabeba na begi kabisaaa na kuupwaka tena kwa visingizio kibao!
duh!! mambo yote hayo ni mwanamke tu!!
lbd na ww mkaka unamatatizo tena makubwa tu, haiwezekani eti umfanyie mtu yote hayo alafu bado atoke nje, lbd jogoo lako halipandi!!!
Item No. 6 in the main post refers.