Their reasoning capacity is very low. They are saying that Kenya should not build roads towards Ethiopia or South Sudan because they are currently fighting. They think these countries will fight forever. In fact even right now Kengen is drilling geothermal wells in two different locations in Ethiopia despite the war going on. These Kengen contracts are worth billions of shillings. And then you get nincompoops here trying to convince us not to build roads towards our neighbours.bro....these are Bongolalas strategy is not their forte. just look at that big country blessed with arable land and tons of precious natural resources....yet somehow they can't figure out a way out of poverty.
look at Botswana with it's diamonds now look at Tanzania with it's tanzanite.
calling them Bongolalas is not an insult is just stating a fact.
you're still a poor country but rich in resources just like DRC....but at least DRC have had nonstop civil wars, what is the bongolala excuse? mabeberu wanawaonea? ama you people are just stuck on stupid?!While you discovered oil, you are among oil exporting countries still you die of hunger like flies, even your citizens can't afford descent houses, you can't afford even basic human needs like food, water. Shelter, stupid Country, failed state.
Tanzania Kuna zaidi ya makampuni 500 ya Kenya yamewekeza, nínauhakika makampuni ya Kenya Ethiopia hayazidi 100, unadhani hao wawekezaji wa Kenya hawana akili au hawajui kwamba Ethiopia wanauchumi mkubwa?. Ethiopia ni failed state Kama ilivyo Kenya, ni wawekezaji wachache(risk takers) ndio wataenda huko.Inaonekana hatutaelewana kwenye hili. Ethiopia hata kwa sasa hivi wanavyopigana ina opportunities nyingi kwa Kenya kushinda Tanzania. Tayari Kengen na Safaricom wamefaidika pakubwa huko Ethiopia. Isitoshe nyaya za umeme za KE na ET zimeunganishwa tayari kwa kusambazia Kenya umeme nafuu. Endelea kuona Ethiopia kama nchi useless. Sisi tunaona market ya 110 million people watakaonunua bidhaa zetu. Ethiopia ina uchumi mkubwa kushinda wenu sasa sijui unaringia lipi ukizingatia wamewapiga hadi kwenye Gdp.
Protectionism, ngoja saii uone wakenya tukijaza makampuni hukoTanzania Kuna zaidi ya makampuni 500 ya Kenya yamewekeza, nínauhakika makampuni ya Kenya Ethiopia hayazidi 100, unadhani hao wawekezaji wa Kenya hawana akili au hawajui kwamba Ethiopia wanauchumi mkubwa?. Ethiopia ni failed state Kama ilivyo Kenya, ni wawekezaji wachache(risk takers) ndio wataenda huko.
When you kill each other like animals because of tribalism what do you expect?, If you elect land grabbers just because he is from Gikuyu and you enrich your politicians for the expenses of Norma citizens, what can you call it?you're still a poor country but rich in resources just like DRC....but at least DRC have had nonstop civil wars, what is the bongolala excuse? mabeberu wanawaonea? ama you people are just stuck on stupid?!
Hata Tanzania mlisema Kuna protectionism lakini bado mumejazana, hivi unajua sababu kubwa ya Uganda na total kuhamisha Bomba la mafuta kuja TanzaniaProtectionism, ngoja saii uone wakenya tukijaza makampuni huko
Ngojea Ethiopia ianze kufungua uchumi wake, Watanzania watashangaa. Tutamwagika huko kama siafu.Protectionism, ngoja saii uone wakenya tukijaza makampuni huko
Waliolaaniwa ni nyinyi. Angalau sisi hatuna mineral resources. Most of our land is desert. Nyie Malazy bado ni masikini kushinda Kenya japo mna shamba kubwa yenye rutuba, minerals nyingi ikiwemo gold and diamonds. Excuse yenu ni gani kwa kuwa masikini kutushinda? Tanzania is cursed.When you kill each other like animals because of tribalism what do you expect?, If you elect land grabbers just because he is from Gikuyu and you enrich your politicians for the expenses of Norma citizens, what can you call it?
Kenya imelaaniwa
Kama Waganda wanaogopa kufanya biashara na Kenya mbona hadi leo 80% ya import yao inapitia Mombasa port? Mbona hawatumii Dar port?Hata Tanzania mlisema Kuna protectionism lakini bado mumejazana, hivi unajua sababu kubwa ya Uganda na total kuhamisha Bomba la mafuta kuja Tanzania
1)Security reasons
2)Political stability
Waganda wanakumbuka hasara na usumbufu waliopata PEV 2007, wanakumbuka Jaluo walivyoharibu reli na malori Yao kuchomwa moto.
Wakati Nyerere alianza kujenga umoja na misingi ya ushikamano na Amani, Jomokenyata alikua akijenga ukabila na chuki miongoni mwa wakenya.
The biggest source of Ugandans' import is Tanzania now, mwanzoni Kenya ilikua ndio chaguo lao la kwanza, Sasa hivi hawanunui tena Kenya, wanakuja kununua Tanzania, muda sio mrefu wataacha kutumia Mombasa port, Kama walivyoacha kununua bidhaa zenuKama Waganda wanaogopa kufanya biashara na Kenya mbona hadi leo 80% ya import yao inapitia Mombasa port? Mbona hawatumii Dar port?
Tanzania imebarikiwa na Mungu kwa kila kitu, ndio sababu hatuchinjani Wala kuchukiana, kizazi kilicholaaniwa kamwe hamuwezi kuwa na Amani, mtachukiana na kuchinjana wenyewe kwa wenyewe hadi makanisani na katika Nyumba za ibada, hiyo ndio sifa ya kulaaniwa.Waliolaaniwa ni nyinyi. Angalau sisi hatuna mineral resources. Most of our land is desert. Nyie Malazy bado ni masikini kushinda Kenya japo mna shamba kubwa yenye rutuba, minerals nyingi ikiwemo gold and diamonds. Excuse yenu ni gani kwa kuwa masikini kutushinda? Tanzania is cursed.
Naomba tujikite kwenye facts tafadhali. Huwa sipendi masengenyo na udaku usio na tija. 🤣 Hebu leta source ya madai yako. Leta evidence.The biggest source of Ugandans' import is Tanzania now, mwanzoni Kenya ilikua ndio chaguo lao la kwanza, Sasa hivi hawanunui tena Kenya, wanakuja kununua Tanzania, muda sio mrefu wataacha kutumia Mombasa port, Kama walivyoacha kununua bidhaa zenu
Hatuzungumzi kuhusu vita. Tunazungumza kuhusu uchumi mzee. Mbona mna shamba kubwa yenye rutuba na madini mengi ila bado Kenya ambayo haina hivi vitu inawashinda kwenye ukubwa wa uchumi? Huoni hapo kuna tatizo mahali?Tanzania imebarikiwa na Mungu kwa kila kitu, ndio sababu hatuchinjani Wala kuchukiana, kizazi kilicholaaniwa kamwe hamuwezi kuwa na Amani, mtachukiana na kuchinjana wenyewe kwa wenyewe hadi makanisani na katika Nyumba za ibada, hiyo ndio sifa ya kulaaniwa.
This type of reasoning is the main cause of Kenya,s misery and failures, why do you think since your independence you haven't built a single tarmac road to Ethiopia while you have almost four of them with Tanzania?.Their reasoning capacity is very low. They are saying that Kenya should not build roads towards Ethiopia or South Sudan because they are currently fighting. They think these countries will fight forever. In fact even right now Kengen is drilling geothermal wells in two different locations in Ethiopia despite the war going on. These Kengen contracts are worth billions of shillings. And then you get nincompoops here trying to convince us not to build roads towards our neighbours.
Unajua maana ya laana?, Ukilaniwa maisha yako yote ni shida, njaa, ukame, ukabila, terrorism, rushwa, political instability, crime, police brutality, killing each other, lack of natural resources, yote hayo ni dalili za kulaaniwa [emoji23][emoji23][emoji23]Hatuzungumzi kuhusu vita. Tunazungumza kuhusu uchumi mzee. Mbona mna shamba kubwa yenye rutuba na madini mengi ila bado Kenya ambayo haina hivi vitu inawashinda kwenye ukubwa wa uchumi? Huoni hapo kuna tatizo mahali?
Mbona unatia aibu Tony?, Yaani hujui kwamba Tanzania imeshawanyang'anya soko la Uganda?, Sasa hivi Tanzania is the biggest Exporter to you Uganda instead of Kenya, you are nor longer a major business partner to Uganda[emoji23][emoji23][emoji23]Naomba tujikite kwenye facts tafadhali. Huwa sipendi masengenyo na udaku usio na tija. [emoji1787] Hebu leta source ya madai yako. Leta evidence.
Naomba tujikite kwenye facts tafadhali. Huwa sipendi masengenyo na udaku usio na tija. [emoji1787] Hebu leta source ya madai yako. Leta evidence.
Source Ni gazeti ya Tanzania!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania overtakes Kenya as Uganda’s largest imports source in EAC
Tanzania capped an eight-month surge in exports to Uganda during June, replacing Kenya as Uganda’s biggest source of imports within the East African Community (EAC), according to data from Bank...www.thecitizen.co.tz
Mimi naona laana ni mtu aliyepewa mali mengi lakini hajui kuitumia. Yesu Kristo mwenyewe alitoa mfano ya watu kadhaa waliopewa pesa wakawekeze. Kuna wale waliopewa pesa wakawekeza na kupata ongezeko la faida na kuna yule ambaye aliamua kutowekeza na baadaye kumrudishia boss wake pesa hio hio aliyopewa bila faida. Yesu alitoa mfano huo ili kuonyesha kwamba "To whom much is given much is expected." Yule ambaye amepewa mengi anategemewa kufaulu zaidi na kutenda mengi. Hio ndio baraka ya kweli. Hata Yesu analifahamu hilo.Unajua maana ya laana?, Ukilaniwa maisha yako yote ni shida, njaa, ukame, ukabila, terrorism, rushwa, political instability, crime, police brutality, killing each other, lack of natural resources, yote hayo ni dalili za kulaaniwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Umechanganya bangi na pilipili masala. Wewe unazungumza kuhusu jambo tofauti kabisa. Mimi nazungumza kuhusu port ya Mombasa ikilinganishwa na port ya Dar es Salaam na mizigo za Uganda ambazo zinapitia kwenye port hizi mbili. Wewe unaamua kuzungumza kuhusu trade balance ambayo mizigo yenyewe haipitii Dar port wala Mombasa port. Mizigo inayotengenezwa Tanzania inapitia border kati ya TZ na UG. Wacha niseme kwamba nikisema imports za Uganda simaanishi mizigo zinazotekea Kenya wala Tanzania bali namaanisha mizigo za UG zinazotokea ulaya. Leta data ya Dar port nami nilete ya Mombasa port tuone asilimia gani ya mizigo ya UG inapitia Mombasa port ikilinganishwa na Dar port.Mbona unatia aibu Tony?, Yaani hujui kwamba Tanzania imeshawanyang'anya soko la Uganda?, Sasa hivi Tanzania is the biggest Exporter to you Uganda instead of Kenya, you are nor longer a major business partner to Uganda[emoji23][emoji23][emoji23]