The Hebrew
JF-Expert Member
- Feb 7, 2015
- 348
- 442
Nimefanya hivyo, ila si kila kitu waweza ambiwa, pengine upo ugumu flani ila mtu kwakua anakaa na kufanya kazi huko ni anataka kukuonesha kila kitu kipo sawa. Nimeuliza hili kwakua nimeona naambiwa vitu positive ni kama hakuna changamoto vile.Mkuu umekuwa ukiwasiliana na baadhi yao ila haujabahatika kujadili nao juu ya changamoto, faida na hasara!?
Wabongo acheni hizo bana,Ukiambiwa mazuri unataka mabaya,ukiambiwa mabaya unata mazuri.Usipoambiwa unanua.Mabaya huwa yapo ila nategemea na mtazamo wako.Cha muhimu ni uwe tayari kupigika na kupiga kazi.Nimefanya hivyo, ila si kila kitu waweza ambiwa, pengine upo ugumu flani ila mtu kwakua anakaa na kufanya kazi huko ni anataka kukuonesha kila kitu kipo sawa. Nimeuliza hili kwakua nimeona naambiwa vitu positive ni kama hakuna changamoto vile.
Mi ningekushauri ujikite ktk kuuliza namna nzuri ya kufika huko ukasake maisha, mambo mengine utayajua ukifika huko.Nimefanya hivyo, ila si kila kitu waweza ambiwa, pengine upo ugumu flani ila mtu kwakua anakaa na kufanya kazi huko ni anataka kukuonesha kila kitu kipo sawa. Nimeuliza hili kwakua nimeona naambiwa vitu positive ni kama hakuna changamoto vile.
Upo sawa Mkuu. Ila nauliza lililo na changamoto kwangu, sioni kama namna ya kufika ni tatizo ila nashukuru kwa maoni yako.Mi ningekushauri ujikite ktk kuuliza namna nzuri ya kufika huko ukasake maisha, mambo mengine utayajua ukifika huko.
Mkuu una connection zozote ambazo nami utanipatia ili niende huko?Upo sawa Mkuu. Ila nauliza lililo na changamoto kwangu, sioni kama namna ya kufika ni tatizo ila nashukuru kwa maoni yako.
Hili nadhani ndio alitakiwa kulifanyia kazi.Mi ningekushauri ujikite ktk kuuliza namna nzuri ya kufika huko ukasake maisha, mambo mengine utayajua ukifika huko.
Hapa kwenye 0712 hujadanganya kabisa maana kuna vijana wengi sana nimeshuhudia waliokuwa wameschukuliwa kwenda kufanya kazi nchi flani hivi uarabuni hakika waliporudi huwezi kuamini ni wao kwa jinsi walivyoharibiwa na kuathirika kisaikolojia mioyoni mwao.Mkuu kwanza, ridhika na ugali-dagaa wa nchini kwako. Mambo ya kutaman kwenda kuwa kibarua ugenini utakuwa mtumwa ambaye utapata mateso bila msaada kwa jiran kwa sababu kila jiran kule sio ndugu yako.
Pili, ogopa sana waAsia ni miongon mwa jamii za watu katili sana duniani. Usisahau pia tuhuma zao za kupenda 0713.
Tatu, usidanganyike na mshahara mzuri wa nchi za Asia kwa kuulinganisha na maisha ya hapa Bongo. Nchi za kule gharama za maisha nazo ziko juu kiasi kwamba hyo hela wanayokutajia kwa maisha ya kule huenda itakusaidia kula na kukodi kachumba cha kulala.
Tafakari kisha chukua hatua.
Funguka zaidi kwa hiyo mashariki ya mbali tunufaike sisi wengine tunaoweza kuhitaji kwenda kufanya huko kazi Chifu.ingekuwa mashariki ya mbali ningekujibu
Umesema vyema sana.Funguka zaidi kwa hiyo mashariki ya mbali tunufaike sisi wengine tunaoweza kuhitaji kwenda kufanya huko kazi Chifu.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Leta Mkuu, inaweza msaidia mtu flani hata kama si mimi.ingekuwa mashariki ya mbali ningekujibu
Hata kama atafika na kubakwa?Mi ningekushauri ujikite ktk kuuliza namna nzuri ya kufika huko ukasake maisha, mambo mengine utayajua ukifika huko.
Vijana wa kitanzania ni waoga sana.Hata kama atafika na kubakwa?
Mpe kidokezo hiki ( kwa kuwa hakutaja nchi)Mkuu kwanza, ridhika na ugali-dagaa wa nchini kwako. Mambo ya kutaman kwenda kuwa kibarua ugenini utakuwa mtumwa ambaye utapata mateso bila msaada kwa jiran kwa sababu kila jiran kule sio ndugu yako.
Pili, ogopa sana waAsia ni miongon mwa jamii za watu katili sana duniani. Usisahau pia tuhuma zao za kupenda 0713.
Tatu, usidanganyike na mshahara mzuri wa nchi za Asia kwa kuulinganisha na maisha ya hapa Bongo. Nchi za kule gharama za maisha nazo ziko juu kiasi kwamba hyo hela wanayokutajia kwa maisha ya kule huenda itakusaidia kula na kukodi kachumba cha kulala.
Tafakari kisha chukua hatua.
Basi pengine nitoe baadhi ya nchi, maana hiyo unazungumza ni mashariki ya mbali si mashariki ya kati.Mpe kidokezo hiki ( kwa kuwa hakutaja nchi)
✓ Kwanini raia kutoka India wakija kwetu hawatamani kuondoka....kama Asia maisha ni mazuri? Yaani nilikuwa nafanya kazi kwenye Kampuni moja hivi Mikocheni kwa - Mwalimu walikuwepo Wahindi wakutosha pale..basi siku moja, mmoja akaambiwa kazi zimepungua hivyo unapaswa kurejea kwao India .. huwezi amini alilia sana yule raia wa India.
✓ Kwanini Kariakoo wamejaa Wachina ili hali kwao Asia maisha ni mazuri?
Nimepitia michango ya baadhi ya wadau wanaoponda kufanyia kazi huko mashariki ya kati...nilichoelewa ni kuwa wengi wao hawana exposure. Wanaongea vitu kwa mihemuko.Basi pengine nitoe baadhi ya nchi, maana hiyo unazungumza ni mashariki ya mbali si mashariki ya kati.
Kama yupo anayeweza zungumzia sehemu kama Dubai na Abu Dhabi.