Watu wamechagua UKAWA baana ndani ya UKAWA hakuna udini wala ukanda,, kwetu sisi kama waislam baada ya kuundwa UKAWA tu wengi wakahamia ukawa, unajua waialam wengi hasa wa mjini wengi wao walikua hawana chama na wengine wakiwa CUF, chadema wengi wao walikua wakiamini ni chama cha kanisa.. ndo maana hupenda kusema ''Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu'' sasa Mungu wao wakristu ni YESU waislam uungu wa YESU hatuutambui.. ila ndani ya Ukawa kauli tata kama hizo zimefifia zimebaki kwa wanachadema mahafidhina