aikaruwa1983
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,398
- 1,499
Tunaambiwa mengi na tuwapendao ila lipo neno moja ambalo limewahi kugusa moyo kiasi kwamba si rahisi kusahau!
TIRIRIKENI
Tunaambiwa mengi na tuwapendao ila lipo neno moja ambalo limewahi kugusa moyo kiasi kwamba si rahisi kusahau!
TIRIRIKENI
1.Sitakuacha love,labda uniache wewe (nikimkumbuka hadi chozi linanshuka)
2.I love looking at u all the time,i have finally met my baby's mama'...(biggest liar of all times)
"I will never leave you no matter what" SIku niliyoachwa haya maneno yalijirudia mara mia tisa kasoro saba
Hapa nimecheka hua yanajirudia halafu unahis unaota pakuche
"I will never leave you no matter what" SIku niliyoachwa haya maneno yalijirudia mara mia tisa kasoro saba
Hapa nimecheka hua yanajirudia halafu unahis unaota pakuche
Pole sana. Hope ulimpata mwingine. Kama bado, nadhani unajua pa kunipata.
1. nimemaliza tu kum do akaanza kulia nikahamaki nini tatizo, what have I done wrong? Akaniambia "i know you have got what you wanted, na utaniacha" Dah it touched me and I proved her wrong, yeye ndio akaja kucheat!
2. Huyu mwingine ilinibidi nicheke sana. Nilimpelekea moto akacum then nikawa naendelea hehehe 5 mins into the game ananipiga na kulia "darling naomba usimfanye hivi mtu mwingine pleeeease nyamgluu"
Hahahaha. Game ikasimama maana nilicheka sana kuona demu anawivu kiasi kile!
Pole sana. Hope ulimpata mwingine. Kama bado, nadhani unajua pa kunipata.