popomaWakuu habari,toka nijiunge humu JF nmekutana na maneno/misamiati kadhaa inayonivunja mbavu ,neno linalonichekesha zaidi ni “Chai” yani mtu akisema hii chai kabisa nacheka sana.
Wewe je ni neno gani ulilolikuta humu linakufurahisha sana?
Shipa la kimkakatiWakuu habari,toka nijiunge humu JF nmekutana na maneno/misamiati kadhaa inayonivunja mbavu ,neno linalonichekesha zaidi ni “Chai” yani mtu akisema hii chai kabisa nacheka sana.
Wewe je ni neno gani ulilolikuta humu linakufurahisha sana?
😀😀 Kabisa mkuu.Kila mtu Jf ni "MKUU" hahaha