utakufa wewe kabla yeyote hapo hajawaMmojawapo ndio PM ajaye ...utaki jiue!!
MwashambwaMimi
USSR
Doto bitekoBaada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutangaza leo kutokugombea tena nafasi ya ubunge bila shaka sasa lazima baada ya uchaguzi mkuu kutapatikana waziri mkuu mpya
Kwaio guys njoon hapa tutabiri nani atakua wazir mkuu anaefata
TUwe na waziri mkuu mwanamke awamu ijayo. Naye ni Tulia AcksonBaada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutangaza leo kutokugombea tena nafasi ya ubunge bila shaka sasa lazima baada ya uchaguzi mkuu kutapatikana waziri mkuu mpya
Kwaio guys njoon hapa tutabiri nani atakua wazir mkuu anaefata
niko tayari kufanya hivyo kama uyasemayo yakitimiaMmojawapo ndio PM ajaye ...utaki jiue!!