Ni nani waziri mkuu ajaye?

Ni nani waziri mkuu ajaye?

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutangaza leo kutokugombea tena nafasi ya ubunge bila shaka sasa lazima baada ya uchaguzi mkuu kutapatikana waziri mkuu mpya

Kwaio guys njoon hapa tutabiri nani atakua wazir mkuu anaefata
 
Guys kwa zandan majaliwa ameshachwa nje ya mfumo na yupo kwake kazuiwa Ata kuchukua fomu na sio kwamba kaacha kugombea kwa hiari yake.
Kwaio guys njoon hapa tutabiri nani atakua wazir mkuu anaefata
Natamani mchengerwa awe PM au January makamba.
 
Wampe Mh Aweso.
Anaenergy kubwa na kauli za Mamlaka Japo Nasibu waziri mkuu na yeye Yuko vizuri zaidi
 
1751473467761.jpeg
 
Mbona mada ya u PM imechangamka sana, kulikoni ndio kusema ni kicheko au huzuni
 
Baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutangaza leo kutokugombea tena nafasi ya ubunge bila shaka sasa lazima baada ya uchaguzi mkuu kutapatikana waziri mkuu mpya

Kwaio guys njoon hapa tutabiri nani atakua wazir mkuu anaefata
Nafikiri kunajina Luca
 
Back
Top Bottom