Ni nani wa kulikatia rufaa ya Jimbo la Segerea?

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,257
Reaction score
3,905
Wakati tumebakiza wiki mbili kwenda kupiga kura zilikuja karatasi za kupigia kura zenye nembo na jina la Anatropia.

Inavyosemekana huyu dada alijitoa mahakamani kwa kiapo na barua na Mkurugenzi wa NEC aliomba wagombea wote kama hawakuidhishwa au kuna sehemu jina lilikosewa basi wa print upya kwa kuandika barua.

Inavyosemekana mpaka zimepita siku tano hakuna mgombea yoyote wa Ubunge aliyeandika kupinga licha ya kasoro ya uwepo picha ya Anatropiaa.

CUF na lawama kwa Mtatiro na Anatropia

Vijana wa CUF Jimbo la Segerea wanamlaumu sana Mtatiro kwa kile kigezo kama yeye ni mwanasheria ilikuwaje hakuandika barua na kuhakikisha ile picha hairudi tena ili siku ya kupiga kura wasichanganye wapiga kura lakini yeye alionekana hilo jambo hakulichulia serious.

Upande wa pili wa Anatropia licha ya kuapa mahakamani na kuwa nakala zote za NEC ilikuwaje hakufatilia kuhakikisha anaweka pingamizi NEC kabla ya upigaji wa kura.

Mwisho mawakala wa CUF wanamlaumu sana Mtatiro kukubali kushindwa mapema na kumpongeza Bona Kaluwa kuwa ni mshindi kipindi cha majumuisho ya kura za ubunge siku ya kwanza na kukubali ameshindwa na kuwatumia ujumbe watu sababu zilizomfanya ashidwe licha ya kasoro zilizokuwepo Mkurugenzi kutumia siku tatu mfululizo hadi kumtangaza Bona ni mshindi baada ya maridhiano ya pande zote.

Mwisho Anatropia analaumiwa katika mikutano ya Mtatiro ni mikutano mitano aliyoweza kumnadi Mtatiro lakini hapo hapo Mtatiro analaumiwa hakuwahi kuandaa mkutano hata mmoja wa mbunge zaidi ya kualikwa mikutano ya madiwani.

Mwisho hadi tulipofikia sasa na tulipoanza hatujui ni nani anaweza kuweka pingamizi mahakamani, ni vizuri Anatropia na Mtatiro mkajitokeza hadharani huku mitaani mmejenga mpasuko mkubwa mpaka kuna tetesi kuwa mmoja wenu ameuzaa jimbo wengine wanaona mnawachezea watu akili sasa.

Sasa watu wanataka kuona kama kweli nyinyi wapambanaji jimbo linakatiwa rufaa kama mtakaushaa 2020 tegemeeni kupoteza madiwani wote 13, Segerea na CCM ikishinda Segerea ndIo itakuwa mwisho wa upinzani Segerea.
 
Mtatiro mbn kakubali kirahisi vile wakat ni kwel yule mama alijitoa kwel !
 
Kuna uwezekano Anatropia alielekezwa ajitoe kwa ahadi ya viti maalum
 
Tuwe wapole tusubiri, kuna yanayoendelea chini ya carpet..ila binafsi naanza kuwa na shaka na kauli au maandishi mbalimbali ya Mtatiro..ana asili ya Sitaki Nataka au Kung'ata na kupuliza tabia ambazo sio nzuri sana kwa mwanasiasa
 
Kama Zitto,

Hivi kwanini CUF walimiga chini?
mimi naamini iko namna huyu kijana kuna uwezekano anatumika.
 
Hili jimbo litakuwa dalili liliuzwa haiingii akilini hata kidogo mgombea mmoja kurusha kwenye mtandao wake wa kijamii eti tumeshindwa. Nilishangaa sana. Sawa ni ustaarabu lakini uwe na madiwani wote wa kwenu halafu ubunge mkose????

Tutawasubiri kura za maoni hampati hata mmoja. mlifanya makusudi mpaka majina yote yakatoka kwenye voter ballot. Mtatiro na mwenzako mjitokeze na kuondoa walakini kwenye hili swala. Hatuna imani kabisa kwa sasa na nyie
 
Mkuu, hawa UKAWA walijichanganya wenyewe maeneo mengi tu, hata Ukonga majina yalikuwa mawili CUF na CDM ila mtu wa CDM alipiga kampeni sana na ni Mwenyekiti wa Seriklai ya Mtaa hivyo anafahamika zaidi. Kuhusu Segerea, UKAWA wasihangaike kuharibu pesa kwenda mahakamani, wajipange kwa ajili ya 2020, katika uchaguzi huu Mtatiro (CUF) alipata kura 75,000+, Anatropia (CDM) 48,000+ na Bonah (CCM) 94,000+ hivyo Jibo lilikuwa la UKAWA lakini wakazidiwa mbinu na Bonah. Sio kweli kwamba waliuza Jimbo bali wakizidiwa mbinu za medani, aidha, Mtatiro kama mwanasiasa alisoma upepo akaona kuwa kura zilikuwa hazitoshi ndo maana kakubali mapema ili ajipange upya.
 
Wajitokeze watoe maelezo kwa wananchi. Bona siyo mbaya namkubali ila hii minong'ono ndiyo shida. Unajua imani ni kitu muhimu sana
 
Matola anafuatilia hili swala kwa ukaribu sana.
Sijui amefikia wapi.?
 
Last edited by a moderator:
C programming umeongea point sana mkuu sio humu wadau wengine wanakurupuka tu kuanza kumlaumu yule dada.wakazi wa Segerea tunaumia sana ila Anatropia na Mtatiro lazima mfanye kitu (mahakamani)ili tujue kuwa kweli hamjatusaliti na kuuza jimbo letu
 
Mtatiro kauza jimbo
Kwa bei gani?
Mtatiro mbn kakubali kirahisi vile wakat ni kwel yule mama alijitoa kwel !
Wewe ulitakaje? awe kama Mwakalebela? unaweza kuzibadili namba?
Kama Zitto,

Hivi kwanini CUF walimiga chini?
mimi naamini iko namna huyu kijana kuna uwezekano anatumika.
Anatumika vipi?
Hili jimbo litakuwa dalili liliuzwa haiingii akilini hata kidogo mgombea mmoja kurusha kwenye mtandao wake wa kijamii eti tumeshindwa. Nilishangaa sana. Sawa ni ustaarabu lakini uwe na madiwani wote wa kwenu halafu ubunge mkose????

Tutawasubiri kura za maoni hampati hata mmoja. mlifanya makusudi mpaka majina yote yakatoka kwenye voter ballot. Mtatiro na mwenzako mjitokeze na kuondoa walakini kwenye hili swala. Hatuna imani kabisa kwa sasa na nyie
Unahitaji muda wa kujifunza na kuijuwa siasa na urudi shule ukajifunze hesabu, jumlisha kura za Mtatiro na za Anatropia utapata jibu kwa nini madiwani wote wameshinda Mtatiro akaanguka.

Mchawi wa Mtatiro ni mgombea wa Chadema. Fullstop
 
Kuhusu anatropia inasemekana aliambiwa arudishe fomu ya ubunge ili inapotokea pingamizi kwa mtatiro mgombea mmoja aweze kupitaa maana ccm walikuwa wakisema hadi kwenye kampeni zao mtatiro ni mkazi wa ubungo misewe, na si mkazi wa segerea

Lakini pia baada ya kutokuwepo pingamizi anatropia alijitoaa, .....

Lakini pia kuna watu wametengeneza mazingira ya kusema yule dada alikuwa anapiga kampeni chini kwa chini jambo ambalo si kweliii.

Mkutano wa kwanza uliofanyika vingunguti relini, mkutano wa pili uliofanyika tabata segerea siku juma duni hajii alivyokuja, mkutano uliofanyika siku lowassa amekuja segerea, hadi mkutano wa mwisho wa kuwanadi wagombea wote wa wa udiwani wa chadema na cuf anatropia alikuwepo na alimnadi mtatiro kwa mashabiki wa chadema wampigie kura na yeye amejitoaa....... sasa ni vizuli mkajitokeza hadharani kutoa sitofafahamu hii mitaani maana lawama ni nyingi sana

Na mgogoro huu kuna watu wanataka kuutumia kusambaratisja ukawa segerea kitu ambacho ni kigumu maana
 
According to NEC KURA 48000 NI KURA ZILIZOHARIBIKA SINCE MGOMBEA WA CHADEMA ALIJITOAA KWA HIYO HATA ANGESHINDA MTATIRO CCM WANGEMUWEKEA PINGAMIZ MTATIRO KWA KIGEZO CHA UCHAGUZI ULIKUWA NA DOSARI HIVYO MAHAMAKANI NA NEC WANGEPINDUA NA KURUDIA.

SASA BAHATI NZULI AMESHINDA MGOMBEA WA CCM NA CHAMA CHOCHOTE WANA HAKI YA KUPINDUA MATOKEO KUTOKANA NA DOSARI ZILIZOJITOKEZA TANGU MWANZO NA KABLA YA MSHINDI KUTANGAZWA NA PIA MTANGAZAJI ALISEMA KAMA KUNA MGOMBEA HAKURIDHISHWA NA MATOKEO RUKSA KWENDA MAHAKAMANI KUPINGA MATOKEO.

SASA KWANINI WANA CCM JIMBO LA SEGEREA MKAKUBALI UCHAGUZI URUDIWEE ILI KUTENGENEZA DEMOCRASIA SEGEREA NA MIMI NATUMAI KAMA MMEANDIKIWA KUSHINDA MTASHINDA TUU KWANINI MSIKUBALI TURUDIE YAISHE TUU.
 
Chombo chenye mamlaka ya kubatilisha matokeo ni mahakama, ccm has nothing to do on this.
 
Kuhusu anatropia inasemekana aliambiwa arudishe fomu ya ubunge ili inapotokea pingamizi kwa mtatiro mgombea mmoja aweze kupitaa maana ccm walikuwa wakisema hadi kwenye kampeni zao mtatiro ni mkazi wa ubungo misewe, na si mkazi wa segerea

Lakini pia baada ya kutokuwepo pingamizi anatropia alijitoaa, .....

Lakini pia kuna watu wametengeneza mazingira ya kusema yule dada alikuwa anapiga kampeni chini kwa chini jambo ambalo si kweliii.

Mkutano wa kwanza uliofanyika vingunguti relini, mkutano wa pili uliofanyika tabata segerea siku juma duni hajii alivyokuja, mkutano uliofanyika siku lowassa amekuja segerea, hadi mkutano wa mwisho wa kuwanadi wagombea wote wa wa udiwani wa chadema na cuf anatropia alikuwepo na alimnadi mtatiro kwa mashabiki wa chadema wampigie kura na yeye amejitoaa....... sasa ni vizuli mkajitokeza hadharani kutoa sitofafahamu hii mitaani maana lawama ni nyingi sana

Na mgogoro huu kuna watu wanataka kuutumia kusambaratisja ukawa segerea kitu ambacho ni kigumu maana

Mkuu Umemaliza kila kitu hapo asante
 
Back
Top Bottom