KACHINJA JF-Expert Member Dec 26, 2015 1,263 869 Mar 7, 2017 #1 Ni nani unamkubali zaidi katika uchekeshaji kati ya charlie champlin & mr bean ? Kwa nini unamkubali? Charlie champlin Mr bean
Ni nani unamkubali zaidi katika uchekeshaji kati ya charlie champlin & mr bean ? Kwa nini unamkubali? Charlie champlin Mr bean
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Jan 23, 2013 5,352 9,329 Mar 7, 2017 #3 Kuna vitu vingine huwezi kuvifananisha, mtu aliyemuinspire Mr bean ni chaplin hapo moja kwa moja chaplin ni mkali tena sana
Kuna vitu vingine huwezi kuvifananisha, mtu aliyemuinspire Mr bean ni chaplin hapo moja kwa moja chaplin ni mkali tena sana
kizaizai JF-Expert Member Mar 31, 2010 5,645 6,963 Mar 7, 2017 #5 Hahaaa.. Champlin kasura kake tu kamekaa kuchekesha.
Humble African JF-Expert Member Jul 28, 2013 4,781 14,412 Mar 7, 2017 #6 Inaaminika duniani hatakuja atokee funny and comic comedian kama Charlie Chaplin.
KACHINJA JF-Expert Member Dec 26, 2015 1,263 869 Mar 7, 2017 Thread starter #8 Humble African said: Inaaminika duniani hatakuja atokee funny and comic comedian kama Charlie Chaplin. Click to expand... Jamaa alibarikiwa sana
Humble African said: Inaaminika duniani hatakuja atokee funny and comic comedian kama Charlie Chaplin. Click to expand... Jamaa alibarikiwa sana
Black Sniper JF-Expert Member Dec 10, 2013 32,268 54,897 Mar 7, 2017 #9 Charlie ameacha historia katika uigizaji na vichekesho. Namkubali zaidi ya bean
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 31,422 38,744 Mar 7, 2017 #10 Been mkali, ila charlie ni zaidi.
Alisina JF-Expert Member Aug 9, 2016 4,146 4,377 Mar 7, 2017 #11 mkorinto said: Been mkali, ila charlie ni zaidi. Click to expand... Mpaka sasa naona Charlie Chaplin kanyakua kura zote hapa. Alikuwa vyema Mno & alikuwa na kipaji cha kipekee.
mkorinto said: Been mkali, ila charlie ni zaidi. Click to expand... Mpaka sasa naona Charlie Chaplin kanyakua kura zote hapa. Alikuwa vyema Mno & alikuwa na kipaji cha kipekee.
Da'Vinci JF-Expert Member Dec 1, 2016 35,796 107,550 Mar 7, 2017 #12 Charlie Chaplin hana mpinzani hapa duniani hata mjukuu wake na yy yupo vzr. Mr bean yuko poa
mgusi mukulu JF-Expert Member Oct 24, 2013 715 681 Mar 7, 2017 #13 Charlie ni mkali kwa kweli... Unacheka na unalia...
feitty JF-Expert Member Jul 10, 2015 2,594 4,189 Mar 7, 2017 #14 Charlie is the best kwangu mimi. Nikiangalie vichekesho vyake sichoki