Ni nani ni msemaji wa CHADEMA?

Ni nani ni msemaji wa CHADEMA?

Usemaji wa cdm inategemea na ujiko ambao hilo jambo husika linabeba mbele ya jamii! jambo likiwa linabeba misifa mingi mbele ya jamii mama wa vifaranga mwenyewe Mbowe anakuwa msemaji, likiwa saizi inayofuatia( halina ujiko saaana) basi watoto wake ndo huwa wasemaji yaani Slaa, Lissu au Mnyika respectively kutokana na ukubwa wa sifa wa hilo jambo. Mambo yasiyo na mashiko ndo bwana mdogo Makene huwa msemaji. Mambo ya kipuuzi na fitna kwenye jf tu ndio hawa akina Yericko na Ben wamejipa vyeo vya usemaji, na hawa wawili hata vyeo vya vifaranga hawana, labda ni vifaranga wa kunguru.

JF bhana!!! Noma kweli kweli
 
Labda Yericko, ninavyojua Saa Nane anaitaka nafasi ya Heche au ya juu zaidi ya hiyo. Utaja niambia siku chache zijazo.

Hapana, si Yericko kama nimjuavyo mtu yule.
Msemaji wa Chadema ni watu wengi tu akiwemo Stephano Hassira, Migulu Chemba, AbdulKatembo Kindovu bila kusahau Nepi.
Hawa ndiyo wasemaji wakuu wa CDM
 
Usemaji wa cdm inategemea na ujiko ambao hilo jambo husika linabeba mbele ya jamii! jambo likiwa linabeba misifa mingi mbele ya jamii mama wa vifaranga mwenyewe Mbowe anakuwa msemaji, likiwa saizi inayofuatia( halina ujiko saaana) basi watoto wake ndo huwa wasemaji yaani Slaa, Lissu au Mnyika respectively kutokana na ukubwa wa sifa wa hilo jambo. Mambo yasiyo na mashiko ndo bwana mdogo Makene huwa msemaji. Mambo ya kipuuzi na fitna kwenye jf tu ndio hawa akina Yericko na Ben wamejipa vyeo vya usemaji, na hawa wawili hata vyeo vya vifaranga hawana, labda ni vifaranga wa kunguru.

mkuu umemaliza kazi
 
Laiti nguvu za vyama vingine kwenye kukiandama CDM zingekuwa zimeelekezwa kwenye uchumi wa nchi hii, natumai tungekuwa mbali sana kiuchumi / kimaendeleo.... Yaani mara CDM cha udini, cha kikabila...!!

You cannot strengthen chama dhaifu kwa kukidhaifisha kilicho strong hasa kwenye ulimwengu wa leo ambao watu wako well informed.....

CDM kama chama, kinaweza kikawa na madhaifu yake, kwani hamuwezi kuwa watu zaidi ya 100 kwenye jambo fulani halafu pasitokee wazembe wazembe wanaoleta shida... But vyama vingine vingewekeza kwenye kutoa mauchafu yao pia ili wananchi tuone usafi wao, na si kukazana kuchafua wengine ili hali tunawaona nao ni wachafu zaidi.....
 
Mkiguswa tu mnalialia JF inadhalilishwa, jibu ni nani msemaji wa JF? Au ni wewe? Kwa taarifa yako JF huwa haidhalilishwi wanaodhalilika ni watoa hoja bogus. Kwa taarifa yako tena, JF ni li dude - yaani limtandao la kijamii ambalo halisikii kudhalilishwa kamwe, lipo lipo tu we njoo andika mambo yako utaliacha linasonga mbele kuaccomodate watu wote, mbumbumbu na wajanja km mimi labda na wewe Molemo!

Ha,ha,ha,ha,ha,jamaa anajaribu kuwashawishi mods watu wamemshtukia dadeki!
 
JF bhana!!! Noma kweli kweli

sisi wananchi wa kawaida hatuna shida ya kujua msemaji wa cdm ni nani! tunakiona kama mkombozi wa watanzania. Hata kama msemaji angekuwa blind, ukombozi CDM tu!
 
Kwa heshima na taadhima nataka kujuzwa nani ni msemaji wa CHADEMA.

Naomba kuwasilisha
unaongelea chadema ipi? kama ni ile ya kina hayatula mtei aka wahafidhina wasemaji ni yericho na ben wa saa8. kama ni ile ya kina kilita/zitto/mwigamba aka demokrasia wasemaji wake ni akina albert msando
 
Usemaji wa cdm inategemea na ujiko ambao hilo jambo husika linabeba mbele ya jamii! jambo likiwa linabeba misifa mingi mbele ya jamii mama wa vifaranga mwenyewe Mbowe anakuwa msemaji, likiwa saizi inayofuatia( halina ujiko saaana) basi watoto wake ndo huwa wasemaji yaani Slaa, Lissu au Mnyika respectively kutokana na ukubwa wa sifa wa hilo jambo. Mambo yasiyo na mashiko ndo bwana mdogo Makene huwa msemaji. Mambo ya kipuuzi na fitna kwenye jf tu ndio hawa akina Yericko na Ben wamejipa vyeo vya usemaji, na hawa wawili hata vyeo vya vifaranga hawana, labda ni vifaranga wa kunguru.
mkuu kwenye red hapo umeniacha sina mbavu. du! kwei JF haiishiwi vituko.
 
CHAMA kilichopoteza muelekeo kila mtu hujifanya ni msemaji. wapo wengi kama akina Yeriko Nyerere, Ben Saanane, Molemo, John Mrema, Mohamed Mtoi, Tumaini Makene nk
 
sisi wananchi wa kawaida hatuna shida ya kujua msemaji wa cdm ni nani! tunakiona kama mkombozi wa watanzania. Hata kama msemaji angekuwa blind, ukombozi CDM tu!
usikubali kuwa msukule kwenye maisha yako. hiyo ni sawa na kumkashifu Mungu kwa vipawa alivyokupa vya kufikiria na kuamua/kutenda,
kujifanya kipofu ni ujinga. leo hii akina mbowe na zitto, watu waliokuwa wamebeba imani za waTz wengi nikiwemo mimi wanakiri hadharani kuwa walichukua rushwa kutoka kwa akina mkono/rostam et al. kuwa makini mkuu wanasiasa kitu pekee wanachosema cha ukweli ni jina lao tu ili kwenye kura ulichague. mengine yote ni 50% tu.
 
sisi wananchi wa kawaida hatuna shida ya kujua msemaji wa cdm ni nani! tunakiona kama mkombozi wa watanzania. Hata kama msemaji angekuwa blind, ukombozi CDM tu!
Kumbe wewe ni wananchi? au ndo yale yale umejivika cheo cha kuwa msemaji wa wananchi!
 
CHADEMA HAJULIKANI NANI MSEMAJI WA CHAMA KULIKONI NDIO KUCHANGANYIKIWA?
Chadema kwenye mgogoro wao kumeibuka kuwa na wasemaji wengi ndani chama,tumeona wajumbe wa kamati kuu wasema ovyo akina Lema na Msigwa walikisemea chama maamuzi ya kamati kuu wakati kamati kuu bado haijakaa na kutoa maamuzi walipita kila kona na kusema akina Zitto tumeshawafukuza na wengine wakisema tutawafukuza.Wasemaji wakazidi ibuka mara akina Tundulisu mara Mnyika huku Makene akiendelea kuwa msemaji wa kipropaganda kwenye mitandao akipotosha umma juu ya sakata hilo chakusikitisha wakaibuka hadi wasiotambulika kikatiba kuwa wasemaji wa chama eti hawa wanaojiita mwenyekiti wa M4C kanda ya ziwa huku ni kuheuka chama kimekosa maadili na nidhamu chama hakiwezi kuwa na wasemaji wengi kiasi hichi athari yake ni kuwapotosha wanachama na kushindwa kuelewa wasimamie msimamo gani?tujiulize unaporuhusu mtu kama lema,msigwa na lisu kuwa wasemaji wa chama?chama hicho labda kitakuwa na kichaa,
ndimi
Hansen Nasri
 
Kwa heshima na taadhima nataka kujuzwa nani ni msemaji wa CHADEMA.

Naomba kuwasilisha
ni
KURUGENZI ya HABARI , Hatutakutajia jina la mtu mmoja mmoja kwa vile tunajua HAMCHELEWI KUWAENDEA WENGINE KWA WAGANGA .
 
Kwa heshima na taadhima nataka kujuzwa nani ni msemaji wa CHADEMA.

Naomba kuwasilisha
ni CDM tu, mbona huulizii wasemaji wa CHAUSITA, PPT -Maendeleo, CHUDEWAMA, NDPR -MAREJESO na hiki kipya mlichokifungua juzi??
 
Back
Top Bottom