Ni nani ni msemaji wa CHADEMA?

Ni nani ni msemaji wa CHADEMA?

salmar

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
799
Reaction score
363
Kwa heshima na taadhima nataka kujuzwa nani ni msemaji wa CHADEMA.

Naomba kuwasilisha
 
Kwa kukufumbua macho kidogo kwa maana ya Acha Ushamba CHADEMA ni taasisi haina msemaji mmoja bali ndani ya taasisi kuna na Kurugenzi ya Habari ambayo ndio inayotoa taarifa zozote zile za chama.

Ndani ya hio directorate kunakuwepo na directors wake mfano J.J.Mnyika na viongozi wengine wenye nyadhifa mbalimbali mfano afisa habari let say Tumaini Makene, nk.

Hivyo usemaji wa chama upo chini ya Kurugenzi ya Habari na sio chini ya mtu mmoja!

Natumaini haya madini niliokufumbulia leo yatakusaidia kwenda next level kifikra.

Karibu!
 
Last edited by a moderator:
Moderators--Hoja za kijinga kama hizi zikiachwa zinadhalilisha JF

Mkiguswa tu mnalialia JF inadhalilishwa, jibu ni nani msemaji wa JF? Au ni wewe? Kwa taarifa yako JF huwa haidhalilishwi wanaodhalilika ni watoa hoja bogus. Kwa taarifa yako tena, JF ni li dude - yaani limtandao la kijamii ambalo halisikii kudhalilishwa kamwe, lipo lipo tu we njoo andika mambo yako utaliacha linasonga mbele kuaccomodate watu wote, mbumbumbu na wajanja km mimi labda na wewe Molemo!
 
Ni yoyote akakaejisikia.

Kuna tetesi kuwa Ben Saanane na Yericko Nyerere wanaitaka nafasi ya Tumaini Makene, kwa hiyo wanajitahidi sana kutoa mabandiko huku ili Dr. Slaa na Mbowe wawape credit na wamwone Tumaini Makene hafai.

Mjini shule
 
Ni yoyote akakaejisikia.

Kuna tetesi kuwa Ben Saanane na Yericko Nyerere wanaitaka nafasi ya Tumaini Makene, kwa hiyo wanajitahidi sana kutoa mabandiko huku ili Dr. Slaa na Mbowe wawape credit na wamwone Tumaini Makene hafai.

Mjini shule
Labda Yericko, ninavyojua Saa Nane anaitaka nafasi ya Heche au ya juu zaidi ya hiyo. Utaja niambia siku chache zijazo.
 
Labda Yericko, ninavyojua Saa Nane anaitaka nafasi ya Heche au ya juu zaidi ya hiyo. Utaja niambia siku chache zijazo.

kwa hiyo ben anataka kumng'oa heche? ndio maana anajipendekeza sana ka mbowe
 
Maswala ya Chama yanasemwa na Kurugenzi ya Habari basi na zaidi ni Tumaini Makene Na msemaji ni mkurugenzi wa habari Mh J.J.Mnyika......Zaidi fika kwenye Office za Chadema Kinondoni Ufipa Street.
 
Last edited by a moderator:
Labda Yericko, ninavyojua Saa Nane anaitaka nafasi ya Heche au ya juu zaidi ya hiyo. Utaja niambia siku chache zijazo.

Haya mapinduzi ya Heche toka kwa Ben yanakolea sana. Manyerere alimtahadharisha Ndg Ben lakini aliruka kama njiwa pori.
Lisemwalo lipo..... na kama aliwahi kukiri kuendesha mchakato wa mapinduzi bavicha akasamehewa inawezekana Tata Mura Heche akapigwa chini.
 
Lissu,mnyika,babu,mbowe yeyote yule wa ngazi za juu,kama ilivyo kwa CCM
 
Usemaji wa cdm inategemea na ujiko ambao hilo jambo husika linabeba mbele ya jamii! jambo likiwa linabeba misifa mingi mbele ya jamii mama wa vifaranga mwenyewe Mbowe anakuwa msemaji, likiwa saizi inayofuatia( halina ujiko saaana) basi watoto wake ndo huwa wasemaji yaani Slaa, Lissu au Mnyika respectively kutokana na ukubwa wa sifa wa hilo jambo. Mambo yasiyo na mashiko ndo bwana mdogo Makene huwa msemaji. Mambo ya kipuuzi na fitna kwenye jf tu ndio hawa akina Yericko na Ben wamejipa vyeo vya usemaji, na hawa wawili hata vyeo vya vifaranga hawana, labda ni vifaranga wa kunguru.
 
cdm mnaosema ni taasisi ni ya nin haswa! Kisiasa,kikabila,kikanda au kidini? Hata sioni kama ni taasisi hii. Anyway msemaji wa chama ni yeyote yule mradi awe na uwezo wa kuramba miguu ya dr, dj na mzee wa tengelu
 
Back
Top Bottom