CHADEMA HAJULIKANI NANI MSEMAJI WA CHAMA KULIKONI NDIO KUCHANGANYIKIWA?
Chadema kwenye mgogoro wao kumeibuka kuwa na wasemaji wengi ndani chama,tumeona wajumbe wa kamati kuu wasema ovyo akina Lema na Msigwa walikisemea chama maamuzi ya kamati kuu wakati kamati kuu bado haijakaa na kutoa maamuzi walipita kila kona na kusema akina Zitto tumeshawafukuza na wengine wakisema tutawafukuza.Wasemaji wakazidi ibuka mara akina Tundulisu mara Mnyika huku Makene akiendelea kuwa msemaji wa kipropaganda kwenye mitandao akipotosha umma juu ya sakata hilo chakusikitisha wakaibuka hadi wasiotambulika kikatiba kuwa wasemaji wa chama eti hawa wanaojiita mwenyekiti wa M4C kanda ya ziwa huku ni kuheuka chama kimekosa maadili na nidhamu chama hakiwezi kuwa na wasemaji wengi kiasi hichi athari yake ni kuwapotosha wanachama na kushindwa kuelewa wasimamie msimamo gani?tujiulize unaporuhusu mtu kama lema,msigwa na lisu kuwa wasemaji wa chama?chama hicho labda kitakuwa na kichaa,
ndimi
Hansen Nasri