Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,212
- 6,972
Unataka Ku compare global average na average ya Sub Sahara !Gharama za uzalishaji wa UMEME kwa kila KWhr kutoka katika vyanzo mbalimbali vya UMEME, hizi ni wastani duniani kote, hazitofautiana Sana.
1)Diesel generator $0.2
2)Geothermal $0.05
3)Wind/Solar $0.04
4)Hydroelectric $0.0016
Geothermal source, is four times expensive than hydro electricity. Hakuna sababu zozote zile za kiuchumi kwa Kenya kuacha kununua UMEME wa maji toka Tanzania na Ethiopia, mkuendelea kutumia umeme wa Geothermal, bidhaa zenu zitaendelea kuwa ghali sana. Manufacturers wengi watafunga viwanda vyao na kuhamishia Tanzania au Ethiopia.
Tz tayari iko na hydro plant nyingi...
Average cost per kwh ni $0.14, Uganda ni $0.10 na Kenya ni $0.15 ....
SA ni $0.09 na Egypt ni $0.06
Kulingana na logic uliotumia hapa EAC Uganda ingekua na viwanda vingi kushinda Kenya na Tz... Lakini kuna factor zengine kama business laws and investor protection, customer base who can afford to buy products, availability of skilled labour... etc... i.e Kampuni ya kutengeneza magari haitajipeleka Rwanda kwasababu umeme huko ni $0.04/kwh wakati Kenya ndo mnunuzi mkubwa wa hayo magari...
Alafu unasahau factor nyengine muhimu kama vile hua mnashangaa kwanini Kenya ina insist kujenga bomba lake kwelekea lamu badala ya kuunganisua na Uganda Hadi Tanga....
Kenya itaendeleza kuzalisha Geothermal ambayo iko na potential ya 10,000mw hata kama ni more expensive than hydro ya Ethiopia au Tz kwasababu geo iko hapa nchini, wataalam na wafanyikazi wa hicho kiwanda watakua hapa nchini , pesa zitakazolipwa zitabaki ndani ya nchi tena tutalipia umeme in Kenya shillings badala ya kulipia in dollars tukinunua kitoka nje,
The only time tunapanga kununua umeme kutoka nje ni kama demand ime exe d supply etc Hatuna mpango wa kutegemea umeme wa kutoka nje kama main supply ... Kwahivyo kama mnagenga dam zenu mkitegemea majirani watanunua umeme bula mkataba wowote ...you are in for a rude shock.... Na hata mki sign mkataba bado si guaranteed... Kwa mfano Kenya na Tz walisign mkataba wa kununua 400MW each kutoka Kwa Ethiopia dam ambayo itaproduce 6000MW...
Sasa Tz inajenga dam yake kwahivyo haitanunua hii 400MW kutoka Ethiopia... Kenya nayo inapanga kujenga 700MW High grand falls dam by 2025... British firm gets nod to build mega dam in Kenya Kenya na Tz ndo walikua wawe biggest foreign customers wa Ethiopian dam, sasa Ethiopia tayari imeshapoteza Tz, kumaanisha wako na extra 400MW... Hata kama Kenya itanunua umeme kutoka nje, Ethiopia has more than enough, why would we want another transmission line conning all the way from sealous game reserve up to Nairobi, given that we are already oversupplied locally...