Ni nani mmiliki wa mitandao ya Twitter na Instagram?

Wakuu.

Mitandao ya Tweeter na Insta inamilikiwa na akina nani ?

Sina la ziada
Stupid, dum, foolish, ignorant, black African, Magufuli, Bashite, makonda, hayo majina yote yako, si uingie Google, utapata jibu lako, kwanini unatupotezea MB Kwa suali la kipumbavu!!? Bigot, idiot
 
Wakuu.

Mitandao ya Tweeter na Insta inamilikiwa na akina nani ?

Sina la ziada
Marilk Zuckerberg ni mmiliki wa Facebook,WhatsApp na Instagram.


Jack Dorsey ndiye mkurugenzi mkuu (CEO) wa Twitter.
Alianzisha twitter akiwa na washkaji zake kama ilivyo kwa Mark Zuckerberg aliyeanzisha favebook akiwa na washkaji zake
 
Facebook Inc. ndio yenye kuhodhi Instagram, WhatsApp, Oculus na Messenger.

Twitter inajiendesha lakini ikipatiwa msaada wa asilimia 56% na Microsoft yake Billionaire Bill Gates. Lakini ikiihodhi kwa 50% pia Microsoft inahodhi LinkedIn.
 
Back
Top Bottom