Ni nani huyu Grace Matage?

Ni nani huyu Grace Matage?

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,619
Reaction score
10,791
Vyombi vya habari na mitandao ya kijamii inamfahamu kama mkurugenzi wa RHG company, kampuni inayohusika na Clearing and fowarding na ni mawakala wa forodha.

Hili jina leo nimekumbuka ile kesi ya askari waliohusika na unyang'anyi wa milioni 90 za huyu mama grace matage.

Kesi ya mwaka 2023 agosti. Na mwaka baadae askari hawa wakatoka kwa kuachiwa huru ikisemekana hawakua na kosa mbele ya hakimu na mahakama. Beyond reasonable doubt wanasema wenyewe.

Miezi kadhaa mbele, Grace matage mwaka 2025, anakamatwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa wizi wakughushi pale bandarini nyaraka, na kujipatia bilioni kumi. Jesuuuuussss. WHO IS SHE ?
NA KATIKA KESI HII. Limetokea jina la mtu sijui ni mume , au ndugu yake wote wako na same charge. Huyu mama ni nani? Jamani. Au hizi ni deals za kila siku?
 
Nchi hii Haina "Rule of Law".
 
Back
Top Bottom