Vijijini ni mtaji mkubwa sana kwa politicians..Lakini mambo haya (ambayo tukiita ya kijinga hatujakosea) huwa yanatokea kutoka maeneo yenye umasikini mkubwa?
Angalia kwa mfano mkoa kama Kilimanjaro ambako huduma za kijamii mfano maji, barabara, mashule na hospitali zimetapakaa hadi vijijini hatuoni ujinga kama huu wakati wao ndio kama ni kuonyesha furaha ndio walipaswa?
Umasikini wa sehemu kama Lindi na Mtwara ambao ukiufatilia kwa undani miaka hii 60 tokea uhuru waweza KULIA MACHOZI kwa nini CCM ndiko inatumia propaganda hizi mfu?
Ila upande mwingine UBWEGE katika hili unarudi kwa waandaaji wa hilo onyesho. Kwani huyo mama hajui kuwa hapo watu wanalipwa kuigiza mbele yake? Kwamba anadanganywa yeye kuwa wanafuraha kumbe wanafurahia kupata hivyo vitenge na hela ya sukari siku mbili tatu?
Anajua yote na alipaswa kuyakataa, kupakwa mafuta na mgongo wa chupa na unachekelea na kupiga makofi ni aina fulani ambayo jina lake halipendezi!
Maadam mwenyekiti hakukemea basi ni wazi aliidhinisha, hata hivyo haukuwa mkutano wa CCM.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!
Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa, lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda.
Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii.
Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?
Shida kubwa kongwe na sugu ya CCM ni upigaji, maokoto na kula kwa urefu wa kamba kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika.
Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea!
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno Mwenyekiti wenu mjue, au mmemchoka?![emoji848][emoji2827]
- Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
- Wamama watu wazima wote
- Wenye sare mpya wote na zinazofanana
- Waliowekwa sehemu moja
- Wainuke kwa pamoja kama kwaya
- Wasogee eneo moja
- Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
- Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk [emoji23]
- Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti[emoji23][emoji23][emoji23]
Chief Mshana ukute hapo kuna Sista au Bimkubwa wako sasa afu upo na Wanao mnatazama kwa Tv😅Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!
Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa, lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda.
Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii.
Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?
Shida kubwa kongwe na sugu ya CCM ni upigaji, maokoto na kula kwa urefu wa kamba kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika.
Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea!
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno Mwenyekiti wenu mjue, au mmemchoka?![emoji848][emoji2827]
- Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
- Wamama watu wazima wote
- Wenye sare mpya wote na zinazofanana
- Waliowekwa sehemu moja
- Wainuke kwa pamoja kama kwaya
- Wasogee eneo moja
- Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
- Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk [emoji23]
- Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ndio CCM,chukua chako mapema 😂😂😂🍀🍀🍀🤸🤸🤸Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!
Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa, lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda.
Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii.
Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?
Shida kubwa kongwe na sugu ya CCM ni upigaji, maokoto na kula kwa urefu wa kamba kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika.
Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea!
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno Mwenyekiti wenu mjue, au mmemchoka?![emoji848][emoji2827]
- Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
- Wamama watu wazima wote
- Wenye sare mpya wote na zinazofanana
- Waliowekwa sehemu moja
- Wainuke kwa pamoja kama kwaya
- Wasogee eneo moja
- Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
- Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk [emoji23]
- Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti[emoji23][emoji23][emoji23]
Wajinga ndio waliwao😂Huyu mwamba anapiga hela sanaaaa
Niko mochwariChief Mshana ukute hapo kuna Sista au Bimkubwa wako sasa afu upo na Wanao mnatazama kwa Tv[emoji28]
Umejifunga mwenyeweSiku Tanganyika itakapotoka kifungoni
Mkuu naheshimu nyuzi zako ila hapo kwa Manabii watu kuigiza nakukatalia ingawa wapo wanaofanya hivyo.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!
Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa, lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda.
Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii.
Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?
Shida kubwa kongwe na sugu ya CCM ni upigaji, maokoto na kula kwa urefu wa kamba kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika.
Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea!
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno Mwenyekiti wenu mjue, au mmemchoka?![emoji848][emoji2827]
- Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
- Wamama watu wazima wote
- Wenye sare mpya wote na zinazofanana
- Waliowekwa sehemu moja
- Wainuke kwa pamoja kama kwaya
- Wasogee eneo moja
- Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
- Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk [emoji23]
- Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kuna limama limoja linajichekea hapo! Duh hatari sana nchi hii.
Kwamba ndio Teacher wao nini? kumbe vile vituko vyote vya Mzee Mnangagwa kule Harare haya majamaa ndio yamempa somo.Sisiem ndio mwalimu wa ZANU PF,ANC,SWAPO na FRELIMO!!????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🪑
Halafu kuna yule mzee wa kuweka namba Lucas Mwashambwa.Tatizo John kajaa unafiki mkubwa san hana tofaut na FARISAYO!!
Hawa wapumbavu hakuna F4 hata mmoja wote la 7 kushuka chini, CCM ndiyo inataka watu wajinga kama hawaChama cha Mapinduzi (CCM) kimechoka kuliko uchovu wenyewe. Ikifika mahali chama kikishindwa hata kwenye mambo mepesi kabisa! Basi tambua chama kimezeeka kuliko umri wake na kimechoka kuliko kuchokwa!
Miujiza kwa asilimia 99 inayofanywa na manabii na mitume kwenye makanisa yao ni ya uongo mkubwa na ya kutengenezwa. Shuhuda zinazotolewa na wanaoitwa waumini ni za uongo na za kutengenezwa, lakini hawa mitume na hawa manabii wana timu bora za kusaka vipaji vya waigizaji kwenye miujiza na shuhuda.
Wale waigizaji hufanya kwa usahihi sana kiasi cha kutengeneza uhalisia na kuaminika miongoni mwa wengine, kitu kinachowapa mileage kubwa mitume na manabii wasanii.
Kinachowashinda CCM ni kipi? Kwanini huwa wanashibdwa vibaya sana linapokuja suala la kutengeneza maigizo? Si wawaazime basi wale wasanii wa akina mwamposa?
Shida kubwa kongwe na sugu ya CCM ni upigaji, maokoto na kula kwa urefu wa kamba kiasi kwamba fungu linalotengwa kwa jambo fulani mpaka limfikie mlengwa linakuwa limeshapita kwenye mikono zaidi ya mitatu na kila mkono unanyofoa chake! Matokeo yake ni kufeli kwa jambo husika.
Mitume na manabii ni wakweli na waaminifu kwenye jambo moja! Kutimiza ahadi za malipo kwa waigizaji wao kwenye ibada zao. Aisee huwa hawawapunji hata senti tano. Wanalipa walichoahidi na kukubaliana na kwakuwa malipo ni mazuri na hayana ubabaishaji basi waigizaji nao hujitahidi sana kufanya kwa usahihi bila kukosea!
Aaaah jamani CCM this is too much bwana! Mnamdhalilisha mno Mwenyekiti wenu mjue, au mmemchoka?![emoji848][emoji2827]
- Hii huwezi kuita ni coincidence hata siku moja
- Wamama watu wazima wote
- Wenye sare mpya wote na zinazofanana
- Waliowekwa sehemu moja
- Wainuke kwa pamoja kama kwaya
- Wasogee eneo moja
- Walale chini kwa pamoja na kwa mfanano
- Kisha waanze kupiga kelele mfano wa watu wanaolia nknk [emoji23]
- Yaani utadhani ni maroboti yamesetiwa na kuendeshwa kwa rimoti[emoji23][emoji23][emoji23]
Na umasikini pia ni mtaji wao mkubwa sana."Mtaji mkubwa wa CCM chakavu ni ujinga na upumbavu wa Watanganyika"