Ni nani hawa na JK

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
62,190
Reaction score
128,264
Jamani hii picha nimekutana nayo ningependa kuwajua hawa waliopiga picha na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kama kuna mtu anawafahamu kwa majina tafadhali.

 

Attachments

  • scan0006.jpg
    202.7 KB · Views: 308
hako kabinti keusi kanaitwa jack kanasoma cheti pale cbe dodoma, ni kada wa chama
 
watakuwa wakuu wa wilaya hao!
 
hawa watakuwa wajumbe wapya wa NEC
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…