Ni nani hasa Leonard Kachebonaho?

Ni nani hasa Leonard Kachebonaho?

Chura

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,424
Reaction score
2,519
Habari zenu,

Jina hili huenda si geni sana pia linaweza kuwa sio enyeji kwenye masikio ya wafuatilaji wa siasa za Tanzania, hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii kumekua na taarifa kuwa kada wa CCM na mjumbe wa baraza kuu la jumuiya ya vijana CCM ndugu Leodga Leonard Kachebonaho amekua akitwajwa kwa mazuri kama mtu anayejitoa kusaidia wengine.

Mtu asiye na makuu na kijana anayejituma, huku upande wa pili ukidai kijana ni katili anayejificha kwenye sura ya upole, mdhulumaji mwenye roho ngumu huku wengine wakienda mbali zaidi wakidai akiwa kama

Mkurugenzi wa kampuni ya Clearing and forwarding KPD amekua akichelewesha mishahara ya watumishi wake pia amekua akiwalipa kidogo madai ambayo yote hayajathibishwa wazi.

Sarakasi hizi wengine wamedai kuwa ni sababu kijana huyo japo hajaweka wazi ila ameonesha nia ya kugombea ubunge 2025 kupitia jimbo la Bukoba mjini hivyo kupata mashambulizi ya kujihami kutoka kwa watu wenye interests sawa.

Wanajamvi anayejua ABC kumhusu huyu Kijana naomba atuwekee hapa. Asanteni.

2c7c1e28-f6f4-451b-8bc0-07341b8c3715.jpg
 
Wewe ndiye ungetueleza kwa undani ili humfahamu vizuri.maana umeeleza hadi mahali anakofanyia kazi hadi habari habari za mishahara kwa wafanyakazi wake kucheleweshewa malipo yao.kwa hiyo naamini wewe ndio upo kwenye nafasi nzuri ya kutujuza kumfahamu hadi hizo ndoto zake za kuutaka ubunge maana inaonyesha unamfahamu vizuri.
 
Lucas Chawa mkuu Soma uelewe
 
Habari zenu,

Jina hili huenda si geni sana pia linaweza kuwa sio enyeji kwenye masikio ya wafuatilaji wa siasa za Tanzania, hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii kumekua na taarifa kuwa kada wa CCM na mjumbe wa baraza kuu la jumuiya ya vijana CCM ndugu Leodga Leonard Kachebonaho amekua akitwajwa kwa mazuri kama mtu anayejitoa kusaidia wengine.

Mtu asiye na makuu na kijana anayejituma, huku upande wa pili ukidai kijana ni katili anayejificha kwenye sura ya upole, mdhulumaji mwenye roho ngumu huku wengine wakienda mbali zaidi wakidai akiwa kama

Mkurugenzi wa kampuni ya Clearing and forwarding KPD amekua akichelewesha mishahara ya watumishi wake pia amekua akiwalipa kidogo madai ambayo yote hayajathibishwa wazi.

Sarakasi hizi wengine wamedai kuwa ni sababu kijana huyo japo hajaweka wazi ila ameonesha nia ya kugombea ubunge 2025 kupitia jimbo la Bukoba mjini hivyo kupata mashambulizi ya kujihami kutoka kwa watu wenye interests sawa.

Wanajamvi anayejua ABC kumhusu huyu Kijana naomba atuwekee hapa. Asanteni.

View attachment 3094909
Tabia yake sio kitu muhimu sana kwa wapiga kura, Muhimu anazijua changamoto na mahitaji ya wapiga kura na niamejipanga vp kutatua hizo changamoto.
 
Habari zenu,

Jina hili huenda si geni sana pia linaweza kuwa sio enyeji kwenye masikio ya wafuatilaji wa siasa za Tanzania, hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii kumekua na taarifa kuwa kada wa CCM na mjumbe wa baraza kuu la jumuiya ya vijana CCM ndugu Leodga Leonard Kachebonaho amekua akitwajwa kwa mazuri kama mtu anayejitoa kusaidia wengine.

Mtu asiye na makuu na kijana anayejituma, huku upande wa pili ukidai kijana ni katili anayejificha kwenye sura ya upole, mdhulumaji mwenye roho ngumu huku wengine wakienda mbali zaidi wakidai akiwa kama

Mkurugenzi wa kampuni ya Clearing and forwarding KPD amekua akichelewesha mishahara ya watumishi wake pia amekua akiwalipa kidogo madai ambayo yote hayajathibishwa wazi.

Sarakasi hizi wengine wamedai kuwa ni sababu kijana huyo japo hajaweka wazi ila ameonesha nia ya kugombea ubunge 2025 kupitia jimbo la Bukoba mjini hivyo kupata mashambulizi ya kujihami kutoka kwa watu wenye interests sawa.

Wanajamvi anayejua ABC kumhusu huyu Kijana naomba atuwekee hapa. Asanteni.

View attachment 3094909
Umeanza kampeni mapema sana ndiyo umejoroga watakukata tu hata kwa wajumbe hufiki
 
Sifa ya muhaya ni kujipigia promo, hongera kijana. Hapa ni kama umejiteka halafu unataka utafutwe...
Anyway, kijana mwenye akili timamu na uchungu na Taifa lako huwezi kuwa CCM
 
Habari zenu,

Jina hili huenda si geni sana pia linaweza kuwa sio enyeji kwenye masikio ya wafuatilaji wa siasa za Tanzania, hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii kumekua na taarifa kuwa kada wa CCM na mjumbe wa baraza kuu la jumuiya ya vijana CCM ndugu Leodga Leonard Kachebonaho amekua akitwajwa kwa mazuri kama mtu anayejitoa kusaidia wengine.

Mtu asiye na makuu na kijana anayejituma, huku upande wa pili ukidai kijana ni katili anayejificha kwenye sura ya upole, mdhulumaji mwenye roho ngumu huku wengine wakienda mbali zaidi wakidai akiwa kama

Mkurugenzi wa kampuni ya Clearing and forwarding KPD amekua akichelewesha mishahara ya watumishi wake pia amekua akiwalipa kidogo madai ambayo yote hayajathibishwa wazi.

Sarakasi hizi wengine wamedai kuwa ni sababu kijana huyo japo hajaweka wazi ila ameonesha nia ya kugombea ubunge 2025 kupitia jimbo la Bukoba mjini hivyo kupata mashambulizi ya kujihami kutoka kwa watu wenye interests sawa.

Wanajamvi anayejua ABC kumhusu huyu Kijana naomba atuwekee hapa. Asanteni.

View attachment 3094909
Huyu ndio boss wa Mafwele
 
Comrade! Hii haijakaa poa hata kidogo. Yaani umeamua kujipakulia minyama yote, halafu umetuachia sisi mchuzi tu kwenye sufuria!
 
Back
Top Bottom