Ni nani hasa Leonard Kachebonaho?

Ni nani hasa Leonard Kachebonaho?

Wewe ndiye ungetueleza kwa undani ili humfahamu vizuri.maana umeeleza hadi mahali anakofanyia kazi hadi habari habari za mishahara kwa wafanyakazi wake kucheleweshewa malipo yao.kwa hiyo naamini wewe ndio upo kwenye nafasi nzuri ya kutujuza kumfahamu hadi hizo ndoto zake za kuutaka ubunge maana inaonyesha unamfahamu vizuri.
Kuna wakati unakuwa na akili! Ila wakati mwingine, huwa ninaishia tu kuwahurumia wazazi wako kwa kuwa na kijana aliyechagua kuwa CHAWA wa binadamu wenzake.
 
Back
Top Bottom