Ni nani hasa alihusika na Kifo cha Sokoine?


Acha blaa blaa! Unatakiwa kuuliza Kaka zako Mwinyi aliipokea Nchi hii ikiwa katika hatua ipi kiuchumi na Kijamii?

Hakuna Chakula ulichokuwa unaweza kununua bila ya kibali cha Mjumbe wa a Nyumba kumi ( Balozi)

Kila Sector ilikuwa Mbovu sana.

Mzee Ally Hassan Mwinyi aliweza kuvusha Taifa kutoka kwny Mfumo mmoja kwenda Mwingine bila ya Mtikisiko Mkubwa na hili ni Jambo kubwa sana sema tu lilifanywa na Mtu asieamini kwny Mbwembwe na misifa
 

Uliza wewe uliyekuwa unanyonya.
 
Sure Na Watu mitaani maisha yalikuwa Swafi sana, Mpaka ulipofika Ukapa!
 
Who is muhidin kimario
 
Reactions: SDG
Huu uzi ni shiddah! Kama ni dawa basi weka mbali na watoto.
 
Umemsahau Daud Ballali
 
Reactions: SDG
Pia uswahiba wake na Lyatonga Mrema, Kiongozi wa Upinzani kuligharimu uhai wake. Inaaminika alikuwa anampenyezea taarifa muhimu za Nchi toka Idarani.
 
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi amefanya mengi sana ya kukumbukwa hasa katika sekta ya uchumi wa Tanzania. Ni ukweli usio pingikia yeye ndio ali ruhusu daladala zianze kufanya kazi Dar Es Salaam na sio UDA tu, pia ali ruhusu biashara zifanyike na watu waka jipatia mali na fedha wakati ule. Ushauri wa kiuchumi ulio kuwa una fanywa na mshauri wa Serikali katika mambo ya kiuchumi; Pr. Ibrahim Lipumba uli saidia sana kusema kweli. Ila tatizo alilo kuwa nalo Rais Mwinyi ni mawili moja Upole na pili udhaifu ulio pitiliza. Ukweli ni kwamba Rais Mwinyi ali mchukiza Mwalimu hasa hasa katika kuruhusu watu wampande kichwani na kuwafanya watu waanze kudharau taasisi ya uraisi. Rais Mwinyi ali ruhusu mijadala ya kutaka serikali tatu ifanyike bungeni mwaka 1992 ambapo ika fanya wabunge 44 wadai serikali ya Tanganyika iundwe na Mwinyi alionekana wazi alitaka kuipitisha ambapo ika mfanya Mwalimu mwenyewe 14-8-1993 alikwenda Bungeni kwenda kuongea na Bunge zima madhara ya serikali tatu kuanzia hapo Mwalimu haku mwamini Tena Rais Mwinyi. Na ndio maana hadi leo ni ngumu MZanzibari kuwa Rais katika serikali ya Muungano toka 1995.
 

Masahihisho!
Umeandika Vyema Ila Maeneo kadhaa umekosea!

Haikuwa 1992 ishu ya Mjadala wa Serikal 3 ilikuwa 1993
Mwalimu Nyerere hakwenda Dodoma kuhutubia Bunge alihutubia Halmashauri kuu ya CCM yenye Wabunge wengi

G55 iliyokuwa unaongozwa na Mh. Nje ku Kassaka ilikuwa Kundi la Wabunge 55 sio 44

Huo unaoita udhaifu wa kuruhusu Serikal 3 sio udhaifu wa Rais ni udhaifu wetu Raia, Rais akiwa Mwanademokrasia na kuruhusu Mijadala na hatimae kuruhusu Demokrasia tunamwita Dhaifu. Bunge liliridhia Serikal 3 nae akaridhia tunamlaumu na kumsifia Mtu aliekuja kupiga kabali Demokrasi na kwa unafiki huu pengine Jakaya ilimsukuma akatae Serikal 3 maana pia tungekuja kumgeuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…