Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Kama ningekuwa nimeandika ujinga nadhani usingesumbuka kujaribu kujibu ujinga kama wewe siyo mjinga!Eti wewe ndie msemaji ukweli? Basi wakweli kwenu hawako. Ulianza vzr baadae naona munkari ukakupanda, ndio ukaanza kuandika ujinga. Muache Mungu aitwe Mungu, lakini shurti walivyorudia kuhesabu kura Tunduma za urais na ikaonekana wamekosea, pale pale angekataa matokeo yote ndio ungejua nini kingefuata.
Kura milioni 6 (40%) zilipatikana hivi: milioni 3 (19%) ni kura za mikoa miwili zilizopigwa kwa njia ya ukabila. Kura milioni 1 zilitoka Dar es Salaam na milioni ingone 1 (jumla 16%) ni kura halali kwa watu genuinely waliamini Lowassa anaweza kuleta mabadiliko ya mwenendo wa serkali. Milioni 1 ziliibiwa sehemu za mijinimijini kuliko na maduka ya Wachagga. Kura halali za Mhe Lowassa alishindwa 85%/15%.Cha
Chaguzi zilizopita kuna mgombea aliwahi kupata kura 6m? Chaguzi zilizopita ziliwahi kuwa na mwamko ulioonyeshwa na wananchi kama uchaguzi huu? shirikisha akili kidogo acha kufikiria ndani ya box.
Kuwa na kura nyingi haina maana wale walikupigia kura wanakubaliana na mawazo ya kufanya vurugu.huyu jamaa ana kura 6m kati ya 8m za magu akifanya fujo tutakoma
Acha statistics za kugushiKura milioni 6 (40%) zilipatikana hivi: milioni 3 (19%) ni kura za mikoa miwili zilizopigwa kwa njia ya ukabila. Kura milioni 1 zilitoka Dar es Salaam na milioni ingone 1 (jumla 16%) ni kura halali kwa watu genuinely waliamini Lowassa anaweza kuleta mabadiliko ya mwenendo wa serkali. Milioni 1 ziliibiwa sehemu za mijinimijini kuliko na maduka ya Wachagga. Kura halali za Mhe Lowassa alishindwa 85%/15%.
..Ma la mamakoKubali tu yaishe, mtoa mada kampa za uso!
Kwanza Lowassa si mpinzani per se, ni mganga njaa tu wa kibiashara!
Wewe unajenga chama gani mpaka unipe ushauri wa kujenga ACT?Badala ujenge chama chako cha ACT unadhani una ubavu wa kupambana na Lowasa!
Wewe utabaki kudanganya wajinga wenzio kama kina Machemli na matokeo yake wanaishia kupata kura 1820...
Usihangaike sana na hawa wenye fikra za Lowassa mabadiliko, Mabadiliko Lowassa.Kubali tu yaishe, mtoa mada kampa za uso!
Kwanza Lowassa si mpinzani per se, ni mganga njaa tu wa kibiashara!
Msamehe tu.Jichunguze kwanza kama kichwa chako kiko sawa!
inatakiwa uwe na akili ya kawaida tu kuelewa hizo chaguzi zilizopita watanzania tulikuwa wangap..? na sasa tupo wangap ndo maana akapata hizo kura million6 ..!!ziliwahi
... Lowassa has gone from hero to zero! ...