high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,951
- 2,195
katika maisha ya ndoa huwa kuna matatizo yanayosababisha ndoa ivunjike je ni nani anayechangia kuvunjika ndoa mke au mume

Mara nyingi mwanamke ndo maana imeandikwa mwanamke anapaswa kumtii mwanaume

Ndoa hujengwa na watu wawili na bali huvunjwa na mwanamke mpumbavu...
pia imeandikwa mwanaume anatakiwa kumpenda mkewe kama kristo alivyolipenda kanisa,