Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

Ni jambo la kushangaza sana unakuta mwanamke anashindana na mume wake kuchepuka!
Hivi hamjui wanaume tunaweza kuoa wake wengi sana at the same time?
Wewe mwanamke unaweza olewa mara mbili kwa wakati mmoja? What the hell? tunakwenda wapi hii dunia?
Ni nani alie waambia mshindane na waume zenu?

Akili zenu zipo au hazipo? Hivi decent woman can do such stupid things?
Wanawake wa tit for tat sio kwani mwanamke ameumbwa na MUNGU amtii mume wake sio kushindana nae!
Mwanaume ni mwanaume na mwanamke ni mwanamke, kamwe mwanamke hawawezi fanana na mwanaume ndio maana tunatofautiana majukumu.
Keep it in mind if you want go higher.

Na nyie nani anawaruhusu kuchepuka??

Kwa sisi wakristu dini inaruhusu mke mmoja tu

Na kwa dini ya kiislam mpaka wawe wamepitishwa kwa imani ya dini

sasa basi nani anawaruhusu kuchepuka???
 
Back
Top Bottom