Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

Aliyekwambia sisi tunaridhika na kibamia kimoja nani hafu nyie wanaume hutofautiana utaalamu Kuna wapiga katerero mpaka waweza zirai Kuna wansojua mambo had waweza zimia, sasa wewe jidaganye eti nani katuruhusu hata sie tu napenda kucheza viwanja tofauti tofauti.
 
Sikutetea uzinzi mkuu kwani ni dhambi hili lipo wazi!
Tatizo ni pale mwanamke anapojivika majukumu ya mwanaume.
Sisi wanaume tunaweza kuoa wake wengi vipi mwanamke anaweza kuolewa zna Zaidi ya mume mmoja at the same time?
Jibu ni haiwezekani.

Halafu suala la kusalitiwa mwanaume ndio mhanda Zaidi kwa maana ya kwamba mume ndie anaeumiza Zaidi kutokana na ugumu wa miyo yetu! Soma Mathayo 19:7-9 halafu uniambie ni kwanini mwanaume anavunja anauhusiwa kumpa talaka mkewe na kwanini sio mwanamke kumpa talaka mumewe.

I hope ukielewa hicho kifungu utakua na Amani sasa.
Kamwe moyo wa mwanamke sio sawa na moyo wa mwanaume hapa ndipo wanawake wengi mnapokosea kwa kujifananisha na wanaume.
Cc moneytalk
 
Kweli wewe mwehu jamani,nipo hapa mtaalam wa katerero napendaga,
 
1.

Sikutetea uzinzi mkuu kwani ni dhambi hili lipo wazi!
Tatizo ni pale mwanamke anapojivika majukumu ya mwanaume.
Sisi wanaume tunaweza kuoa wake wengi vipi mwanamke anaweza kuolewa zna Zaidi ya mume mmoja at the same time?
Jibu ni haiwezekani.

Halafu suala la kusalitiwa mwanaume ndio mhanda Zaidi kwa maana ya kwamba mume ndie anaeumiza Zaidi kutokana na ugumu wa miyo yetu! Soma Mathayo 19:7-9 halafu uniambie ni kwanini mwanaume anavunja anauhusiwa kumpa talaka mkewe na kwanini sio mwanamke kumpa talaka mumewe.

I hope ukielewa hicho kifungu utakua na Amani sasa.
Kamwe moyo wa mwanamke sio sawa na moyo wa mwanaume hapa ndipo wanawake wengi mnapokosea kwa kujifananisha na wanaume.

1. Ni majukumu yapi hayo mwanamke amejivika ambayo hastahili? Maana hukutaja.
Aliyekuambia kuwa mwanaume anauwezo wa kumiliki wanawake wengi hlf mwanamke ashindwe ni nani?
Mwanamke hana uwezo wa kuolewa na wanaume wengi lakini haimaanishi kuwa hana uwezo wa kuwa na wanaume wengi kwa wakati mmoja.

2. Wewe ni mbinafsi sana maana unahisi mwanamke akisalitiwa haumii. Hivi nyie wanaume mkoje? Mnakera sana sometimes na ubinafsi wenu wa kipumbavu.
Ni utamaduni tu ambao mwanamke amewekewa toka enzi na enzi na tumeendelea kurithi hivyo. Tumeaminishwa kwamba kuchepuka ni kosa kwetu lkn kwa mwanaume ni sahihi.
Mungu ninayemuamini mimi hayupo hivyo, hana upendeleo.
Hiyo mistari ya biblia kaa nayo maana imeandikwa kwa lengo lile lile la kumfanya mwanamke awe chini siku zote hata kwa mambo ya kipuuzi.

3. Ninaelewa kuwa mwanaume ana hitaji kupewa heshima lakini sio kwa mtazamo huo.
Kuhusu talaka mimi sijali nani anatoa, nina amini katika mapenzi ya dhati, napendana na mtu na siku ikitokea tumeshindwana utoe talaka au usitoe haijalishi. Tunamwagana maisha yanaendelea. Sipendi kucomplicate mambo.
 
Back
Top Bottom