nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,243
ebu ona ulivyo na short sight...aliekudanganya kuwa kila anaepinga shit zako ni CDM ni nani???..alafu unatukana watu...who the hell are you!!....ignorant...
ebu ona ulivyo na short sight...aliekudanganya kuwa kila anaepinga shit zako ni CDM ni nani???..alafu unatukana watu...who the hell are you!!....ignorant...
why do we wait until 2015? something must be done to rescue the majority!
[MENTION]wacha matusi we....mdomo mkubwa unao wewe na shit zako......mi katiba za vyama zinanihusu nini??mimi nataka kuona mambo yakifanyika on the ground(not on paper)....na ninaangalia chama chenye muelekeo wa kufanya hivyo.....na CDM wanaonyesha njia ...si bla bla zenu ccm..tumezichoka.......kawadan ganye majuha wenzako.....alafu vijana kama nyie ndo mnazidisha balaa..maana hamuonyeshi kubadilika....Btw...don't answer me back.....because i will not buy your shit.....
ebu ona ulivyo na short sight...aliekudanganya kuwa kila anaepinga shit zako ni CDM ni nani???..alafu unatukana watu...who the hell are you!!....ignorant...
Unajua kila tatizo lina suluhu yake: kama unaumwa nenda hospitali, kama umeonewa/Dhulumiwa nenda mahakamani au polisi. Kama nchi inaendeshwa vibaya na chama tawala chagua chama mbadala. Hivyo dunia ndivyo inavyokwenda. Sasa unapoainisha matatizo ya nchi kiutawala kama wewe sio sehemu ya utawala suluhisho lako ni LAZIMA kubadili utawala. Mambo ya kuwa kujisahihisha, kujirekebisha, kuonyana yanafanywa na mechanisms zilizomo ndani ya utawala
ukiwa na wateja 1000 wa 5mn/- three years period
Revenues collected ni 1.67bn/- per year